Usiku wenye heri

clearmind

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
424
724
Ni usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo kadhaa kabla hujatoka. Preserve your precious sperms!

Mkumbuke mwenzi wako na umtakie usiku mwema. Kama huna kabisa na wewe ni binti, kumbuka unapendwa sana na huyu invicible anaesoma ujumbe huu sasa na siku moja atakuwa nawe. Goodnight guys!
 
Ni usiku tena. Mambo mengi na pilikapilika za mchana zimekwisha. Tutakiane usiku mwema. Singles, tutulie kwenye rooms zetu. Huu si muda wa kwenda kusaka mbususu/mkuyenge mtaani. Fikiri mambo kadhaa kabla hujatoka. Preserve your precious sperms! Mkumbuke mwenzi wako na umtakie usiku mwema. Kama huna kabisa na wewe ni binti, kumbuka unapendwa sana na huyu invicible anaesoma ujumbe huu sasa na siku moja atakuwa nawe. Goodnight guys!
Hakuna hata wa kuniambia baby umekula nin au nakutakia usiku mwema, kuwa single ni mateso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom