usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wamebadili Mbinu Wametaka Kumwibia Mzee Wangu Usiku Huu

    Picha inajieleza, wametaka kumwibia mzee wangu kwenye kiswaswadu chake usiku huu, akanikimbilia nimsaidie kutuma fedha kwa mjukuu ndipo nikamshitua akazinduka. Hivi sasa hawasemi "ile fedha tuma kwa namba hii", wanatuma ujumbe wa namna hii
  2. JamiiForums Tanzania Wezi wanazidi mitaani, wanaiba mchana kuliko usiku kuweni makini

    Kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu, kumeibuka kundi la wezu wengi wao wadogowadogo vitoto kabisa ambavyo vinaiba sana Pesa Na vitu vidogo kama simu. Wanachofanya, wanajua nyumba nyingi za kupanga mida ya mchana hukuti watu wameenda kwenye mihangaiko yao. Unakuta nyumba mchana ipo kama...
  3. JamiiForums Tanzania Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

    Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote. Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

    SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO. Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

    Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶ Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
  7. JamiiForums Tanzania Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

    Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Iran imejaribiwa, wakagundua ni mdebwedo. Leo tena yashambuliwa usiku

    Mji wa Kerdzh huko Iran umeshambuliwa , kuna air defence activities zinazoendelea kulinda anga
  10. JamiiForums Tanzania Funika kioo wakati wa kulala usiku

    1. Wachawi ukitumia kioo pale ambapo kitakuwa wazi usiku uchukua sura yako na kuenda kuitumikisha kiuchawi. Kwahiyo usishangae mtaani wakawa wanakunyoshea vidole/kidole wakishemezena ujue yule mmama/baba/kaka/dada mchawi kumbe unatumika kiuchawi na we hujijui kisa kioo kukiacha wazi usiku. 2...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  12. JamiiForums Tanzania Burna Boy, Rema na Tems kukiwasha NBA All-Star Game leo usiku

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi. Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba hii Ndoto niliyoiota Usiku wa leo isiwe ya Kweli

    Nimeota kumbe Gari Chiba lilishachomwa Moto Kitambo tu na kwamba kwa sasa Picha ya Gari inatafutwa ili Snipers watafutwe na walipige Risasi vile vile na Watafutwe Wataalam walirejeshe kama lilivyokuwa Siku hiyo ndipo Chiba akabidhiwe Kelele ziishe Mtaani. Chiba na Wewe kuwa Mvumilivu Kwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge lisitishe kusafirisha abiria usiku, hali sio shwari

    Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
  15. JamiiForums Tanzania Poleni saana kwa wote mnaolala peke yenu Usiku bila wenza

    Naona kulala pekee ni Kama adhabu, wee usiku mzima hakuna hata anayekugusa. Poleni wote mnaolala Kama baiskeli ukipaki imepaki utaikuta vilevile asubuhi.
  16. JamiiForums Tanzania Kala makande na konyagi anaanza kusumbua watu usiku

    Kuna vitu vinachekesha sana usiku wa kuamkia Leo nimekuja kugongewa na jirani yangu mlango akidai Kuna shida nyumbani kwake, kaka yake anatapika mfululizo. Ikabidi chap chap niamke kwenda nyumbani kwake mida ya saa namkuta jamaa nje katapika makande yaani punje nzima nzima nahisi ata alikua...
  17. JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Haniu amuagiza Mkandarasi kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha mradi wa maji

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo Kata ya Itagata Barabara ya Katumba – Mwakaleli. DC Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo hicho ili kutoa fursa ya kuhudumia zaidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nimemkuta jirani yangu anazunguka nyumba yangu usiku

    Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale. Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona kama kivuli kwenye kioo cha dirisha nikasogea polepole kuangalia kama kuna mwizi nikashangaa...
  19. JamiiForums Tanzania SportPesa: Yanga walituzunguka, usiku wakatangaza mdhamini mpya

    Maelezo ya SportPesa Sisi tunajua kuwa hatua ya makundi hatuwezi kukaa kwenye jezi za Yanga na tulijadiliana cha kufanya ikiwamo kuwapa LiveScore ambayo walisema inahusika na beting na imekataliwa na CAF, tukaomba ushahidi wa maandishi kwa kujua hii inaonyesha matokeo ya mechi na sio kubeti,”...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ulimwengu ungekuwa ni Usiku tu ama Mchana tu, maisha yetu yangekuwaje?

    Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…