usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi. Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi. At the end naambiwa siko romantic! Mnaoweza haya mambo hebu...
  2. JamiiForums Tanzania Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

    Baada ya kuigawa Gaza vipande viwili, sasa magaidi yaliachwa kaskazini, Israel wamekua wakiyabamiza bila upinzani wa maana na tayari kuingia mjini kati usiku wa leo..... ================= Israeli troops could enter Gaza City later today, according to Israeli media, raising the prospect of...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  4. JamiiForums Tanzania Usiku mwema kijana mwenzangu. Hakikisha unakuwa na pesa za kutosha kwa njia yoyote ile

    Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako. Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha. Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu. Asante
  5. JamiiForums Tanzania Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Nahisi mabasi kusafiri usiku yameshusha mapato kwenye mashirika ya ndege

    Usafiri wa mabus usiku nadhani ni pigo kubwa sana kwa mashirika ya ndege, kwa mwendo ninao uona sasa mashirika ya ndege kwa safari za ndani ya nchi itabidi waje na ofa sio za kawaida otherwise maumivu yao ni makubwa. Mabus ya Usiku yana jaa mapema kuliko kawaida, yani kama unasafiri usiku...
  7. JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  9. JamiiForums Tanzania Bei ya zile herufi zinazowaka usiku ipoje?

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Tz. Naomba kuuliza et bei ya zile herufi zinazowaka zipoje? Ni zile herufi watu wanatumia kuandika majina ya biashara zao kwenye frames.
  10. JamiiForums Tanzania Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tutaandamana usiku, usiku wa manane

    Wasaka Tonge wenzangu, mapambàno hayakomi, ni mpaka usiku, usiku wa manane. Hustle zako unafanyia wapi? Tushirioishane huenda kuna wadau wa shughuli zako humu ndani. Wazee wa iPhone za Makumbusho tuwasiliane.
  12. JamiiForums Tanzania Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Michezo cha EA Radio cha Usiku huu wana maana gani Kuanza Kipindi chao na Wimbo huu wa Christian Bella?

    Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma...... Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue? Kudadadeki.......Kimya leo Mitaani.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini ajali nyingi hutokea usiku?

    Wanajamvi salaam. Kwa utafiti wangu usio rasmi kwenye vyanzo mbali mbali vya habari ikiwemo JamiiForums, nimebaini kwamba ajali nyingi hasa zile mbaya hutokea mida ya usiku. Barabara maarufu kwa ajali kama maeneo ya Mikese imekua ikishuhudia ajali mbaya zinavypelekea vifo vya watu wengi na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

    1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo. 2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba. 3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama...
  18. JamiiForums Tanzania Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

    Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20. Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport. Yaani zile...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Usiku wa deni haukawii kucha. Wananchi kumbukeni hili siyo kombe la loser

    Kumekucha! Mwisho wa kuucheza mpira mdomoni ilikuwa jana. Leo tunasubiri vitendo, zile 5 mlizokuwa mnafunga kwa mechi ya mdomon ubavu mnao wa kuzifunga kwenye dimba la ukweli?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo!

    Wazee waliposema usiku mrefu waliwaza vingi bwana, leo katika harakati nimejikuta nakosa msosi na kulala pakavu tumboni, sahizi nipo natapa tapa hapakuchi!! Nimeingia kitandani toka saa nne hadi sahizi saa tisa sipati usingizi nasinzia nikishtuka nakuta nimesinzia dakika kumi au kumi tano tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…