Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa mwitikio mzuri tu si haba.
Siku kadhaa baada ya kuanza,mama mwenye nyumba ambaye anaishi hapohapo...