ushuru

  1. A

    KERO Wakulima wa Mpunga Kilosa tunateseka na Mashamba, wakati wa mavuno Halmashauri wanakuja na ushuru unaotuumiza

    Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu. Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na mafuriko ya Mto Mkondoa mazao yao yanaenda na...
  2. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Tume inapendekeza mapitio ya ushuru, tozo na ada zinazotozwa na mamlaka ili kuondoa zinazofanana na kujirudia

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  3. A

    KERO Wenye magari ya kusomba madini Manispaa ya Iringa tunalipishwa ushuru mara 2

    Sisi ni Wamiliki wa Tipa za kusomba madini ujenzi Manispaa ya Iringa tuna kero yetu, kwa kawaida Ofisi ya Madini Mkoa huchukua shilingi 8,000 kwa kila ‘trip’ moja. Wakati huohuo Ofisi ya Mkurugenzi huchukua shilingi 300,000 kwa mwaka wakisema ni ushuru pia. Aidha, Ofisi ya Mkurugenzi huchukua...
  4. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  5. M

    Trump: "Sikupenda namna waziri mkuu wa Uswisi alivyoongea kwa ukali, hivyo badala ya kupunguza ushuru, nikaongeza hadi 39%"

    Katika mahojiano maalum na Fox Business, Trump alieleza namna nchi nyingi kama Uswisi zinavyonufaika kwa mrefu huku kujaza bidhaa zao marekani bila ushuru huku wao wakiendelea kutoza ushuru bidhaa za Marekani, "Nilikuwa na tukio na nchi moja nzuri sana, Uswisi. Walikuwa hawalipi ushuru wowote...
  6. M

    Mikopo ya kulipia ushuru wa magari na mizigo bandarini

    Habari Asipo kupoteza muda, Leo nimekuja na habari njema Kwa wote wenye uhitaji wa pesa ya kulipia ushuru bandarini Kwa mizigo auagar waliyoagiza Toka NJE ya nchi. Mkopo unaaanzia milioni moja hadi billion Moja ya kitanzanià Riba ya mkopo ni 3.5% kila mwezi Mdhamana wake ni Kiwanja àu...
  7. Its Tesha

    Trump: Mtakaofanya Biashara na Iran mtakabiliwa na ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa mataifa yote duniani yanayofanya biashara na Iran, akitangaza kuwa nchi yoyote inayoendelea na itakayofanya hivyo itakabiliwa na ushuru mpya wa asilimia 25 kwa bidhaa zake zote zinazouzwa nchini Marekani. Hatua hiyo imekuja wakati utawala wa...
  8. Influenza

    RC Mtaka azijia juu Halmashauri kwa kukusanya ushuru kwa Wakulima ikiwa hazijamwezesha Mkulima kwa chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo. Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
  9. Pfizer

    Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Aiba gari ya polisi asema ni mali ya taifa na nalipia ushuru

    Ila waKenya mnabalaa sana :D :D :D ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo ================ Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kuiba gari ya Polisi jambo ambalo limezua taharuki na mshangao miongoni mwa watazamaji. Mwanamume...
  11. A

    KERO Abiria wenye Tiketi nao wanatoza ushuru wa kuingia Stendi ya NaneNane Dodoma

    Nimefika Stendi ya Nanenane Dodoma, watu wote wanakatishwa tiketi ya ushuru wa kuingia stendi hata kama tayari unatiketi ya safari. Hii ni sawa kweli?
  12. M

    Mikopo ya ulipaji wa ushuru wa magari bandarini

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye ya kiwango Cha ushuru unaodaiwa bandarini wakati mada Naomba kutangaza Kwa wote wale ambao wameagiza magari Toka nje ya nchi kama Japan lakini wakawa hawana pesa ya kutosha kulipia ushuru basi sisu tunatoa mikopo kiwango Cha kukopa ni asilimia...
  13. W

    Trump Aamuru Ushuru Mpya kwa India Kufikia Asilimia 50 kwa Sababu ya Kununua Mafuta kutoka Urusi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
  14. R

    Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

    Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya...
  15. Masalu Jacob

    Wapiga debe na madalali wa watoza ushuru waliojificha

    Habari Tanzania ! Nauliza swali. Hivi hawa Raia wanaojihusisha na hizi kazi mbona wanatoza ushuru binafsi pasipo mamlaka husika kujua, je hii ni sawa kwa maendeleo ya nchi? Karibu
  16. M

    Kero za ushuru wa biashara ndogo ndogo temeke

    Habari wanajikwaa Nimekua mfanya biashara mdogo katika halmashauri ya manispaa ya TEMEKE na changamoto ni kua wanakuja kuchukua ushuru kila siku sokoni lakini swali la kujiuliza mbona ushuru huu wa Tsh 500 kila siku umekuwa ukitolewa lakini wahusika hawatuboreshei mazingira ya kazi mfano...
  17. L

    Nchi hii ya Afrika yaingia katika hali ya maafa baada ya kukandamizwa na sera ya ushuru ya Marekani

    Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
  18. R

    Msimamo wa EU na Mexco dhidi ya Ushuru 30% wa Trump

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja wa Ulaya umejikita katika mazungumzo, utulivu na ushirikiano mzuri wa pande mbili na Marekani. Ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, kuandika barua akionya kuhusu kuongeza ushuru zaidi kwa bidhaa kutoka EU...
  19. U

    Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  20. The Zanzibar Echo

    Ushuru wa forodha: Trump aweka shinikizo kwa Korea Kusini na Japani

    Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia. Kwa Washington, hii inakusudiwa kuhimiza washirika wake wengine kutia saini mikataba ya biashara...
Back
Top Bottom