ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ATCL Kaa Mbali na Ushirikiano na KQ

    Kwenye habari za Channel 10 ya Saa 1:00 jioni leo tarehe 19/ 04/ 23, kuna habari inayosema ATCL ina mpango wa kushirikiana na Shirika la Ndege la Kenya maarufu kama KQ. Kama habari hii ni ya kweli, nashauri Watanzania tukemee mipango hii kwa vile uzoefu unaonyesha ushirikiano hauna tija Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023 Rais Samia ameishukuru Serikali ya Marekani kupitia misaada na uwezekaji wa aina mbalimbali unaofanyika nchini. Serikali ya Tanzania...
  3. T

    JamiiForums Tanzania TRC kusitisha safari mikoa 6 sababu ya mvua ni ushirikiano na wamiliki wa mabasi. Mvua hazikuwepo kipindi cha Hayati Magufuli?

    Kuna tangazo la kusitishwa kwa safari za train ya abiria safari za Dar - Kigoma kupitia mikoa kadha ya kuelekea bara. Sababu wanazotoa ni miundo mbinu kuharibiwa na mvua. Swali la kujiuliza ni mvua gani zilizonyesha kuzidi awamu ya miaka 6 ya Magufuli? Mbona hatukuona usimamishaji wa safari...
  4. JamiiForums Tanzania Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukaribu na ushirikiano uliopo kati ya CCM na CHADEMA kwa sasa unanifanya nifikiri ni nani walihusika na matukio ovu awamu ya TANO

    Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi. Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika. Je, hizi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia amegusa mioyo ya Wamarekani - Balozi wa Marekani, Tanzania

    Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

    Nashangaaga sana utakuta mwanamke anashindwa kutoa ushirikiano mzuri kama daktari atakuwa yupo karibu na wanafunzi wanaosomea udaktari, mfano labda mwanamke ana shida sehemu zake za siri utakuta anamwambia daktari awafukuze wanafunzi ndipo aweze kumueleza tatizo. Kwa daktari asiye muelewa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano unahitajika zaidi sasa katika kuwalinda wanyamapori walio hatarini

    Siku ya wanyamapori duniani ambayo inaangukia Machi 3 kila mwaka, ni muhimu sana kwani katika siku hii tunapata muda wa kukumbushana uzuri na maajabu ya mimea na wanyamapori waliomo ndani ya sayari yetu lakini vilevile umuhimu wa viumbe hivi duniani. Mbali na wajibu tulionao wa kudumisha na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Chana asisitiza ushirikiano kufikia malengo ya Serikali

    Balozi Dkt. Chana asisitiza ushirikiano kufikia malengo ya Serikali Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewasisitiza Wajumbe wa Menejimenti na watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo ya Serikali...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini makubaliano ya Ushirikiano na Indonesia kwenye Sekta ya Umeme na Gesi

    Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Indonesia imemalizika kwa kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme, mafuta na gesi. Makamba kwa nyakati tofauti alikutana na Waziri wa Nchi anayeratibu biashara zinazomilikiwa na Serikali, Luhut Pandiaitan, Waziri wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ujenzi wa miundombinu inayotekelezwa na China barani Afrika ni matokeo ya ushirikiano wa kunufaishana

    Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo mkubwa wa madeni, na hata kufikia kusema kuwa, China inaendeleza ukoloni mamboleo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa afya kati ya China na Afrika wapiga hatua kubwa katika miaka 60 iliyopita

    Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

    Anaandika, Robert Heriel Kama umezaliwa familia masikini, na unampango wa kufanikiwa/kutoboa maisha yaani angalau uwe na nyumba nzuri, Gari, na watoto waishi Maisha poa. Basi inakupasa utambua baadhi ya Kanuni. Ingawaje Watu wanasema Maisha hayana Formula lakini zipo Formula katika Maisha...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika wavutia vyuo maarufu duniani kuanzisha utafiti wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, IFC zakubaliana maeneo sita ya ushirikiano

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dk Ally Laay (watatu kulia), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kulia), na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wanne kulia) wakiwa katika kikao na Mkurugenzi wa IFC anayesimamia ushirikiano na Taasisi...
  18. JamiiForums Tanzania Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China

    WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU Na WyEST DSM # Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China # Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania waendelea kuimarika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
  20. JamiiForums Tanzania Naunga mkono wanaokataa kutoa ushirikiano kwa Ulinzi Shirikishi wachukuliwe hatua na wapelekwe Mahakamani

    Huku mtaani kwetu suala la ulinzi shirikishi ni kama limekuwa linachukuliwa poapoa hivi, kuna wengine wao wanajiona wapo salama labda kutokana na mazingira yao ya nyumba zao kuwa na geti au kuwa na walinzi. Wengine wanaona ni ubahiri kutoa fedha kwa vijana au watu wanaofanya kazi ya kulinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…