ushindani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Elon Musk amtuhumu Mukesh Ambani ndiye bosi halisi wa India kumzidi Modi, akimhusisha na juhudi za kuzuia ushindani wa Starlink

    Mukesh Ambani ni tajiri mkuwa nchini India, sehemu ya utajiri wake huo anamiliki hisa kubwa sana kwenye sekta ya mawasiliano na intaneti nchini India kupitia kampuni ya Jio Platforms Limited. Badala ya kumiliki mitandao mingi midogo iliyotengana, Ambani alijenga mfumo mmoja mkubwa uliounganishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushindani: Je, Ni Lazima Kumshinda Mwingine?

    Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama walizopata wengine. Nyumbani, tulikokulia, nako maelekezo mengi yalilenga kutulinganisha na wenzetu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Taifa lolote yanaletwa na kushindanisha Ubora kuanzia mifumo ya kapata viongozi ELIMU na uchumi tunaandaa taifa duni tukiondoa ushindani

    Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani. Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wagombea walikuwa wengi kwa sababu walitengenezwa kuondoa ushindani

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amebainisha kuwa mchakato wa uchaguzi na mfumo wa kisiasa umekuwa ukivurugwa mara kwa mara tangu mwaka 2019 hadi kufikia mwaka 2025. Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala kuhsu Demokrasia na Katiba Mpya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Katiba hii inaua ubunifu umahili na ushindani inaibua machawa na wanafiki haitufai hata kidogo.!

    Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu. Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siamini kauli ya keki ni kubwa kwajili yetu wote kwenye biashara yenye ushindani, Biashara ni vita !!

    “Keki ni kubwa kwa ajili yetu wote.” Si amini. Kwenye biashara, kila mtu anataka kuongeza market share. Kila mtu anataka scale. Kila mtu anataka wateja wengi zaidi, branches nyingi zaidi, revenue kubwa zaidi. Wateja wako kuhamia kwao ndio mafanikio ya kibiashara kwe wengine Kuna muda...
  7. JamiiForums Tanzania Ronaldinho Gaucho, arudi kwenye soka la ushindani akiwa na miaka 46

    Habari zilizo tikisa dunia ya kandanda ni kitendo cha Ronaldinho gaucho, kurekea UWANJANI kuichezea Ravenna fc ya italia serie c. Akizungumza mwenyekiti wa klabu hiyo kaongeza kua Ronaldinho asajiliwa Kwa AJILI ya mpira wa ushindani na si maswala ya matangazo. Hivo mashabiki wajiandae kuona...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Iingize Pesa za Kujenga Kiwanda Cha kusafisha Mafuta Kwa Kushirikiana na Dangote Kenya na Uganda Zinaona Italeta Ushindani Kwa Mafuta Yao.

    Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka Uganda na Kenya japo haijawekwa wazi ni ushirikiano wa kupata soko au wa fedha au source ya Mafuta. Kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inaleta Ushindani kwa wazalishaji wa Ndani wa Avocado Oil dhidi ya madalali kutoka Kenya

    Tanzania mpaka sasahv kupitia mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera kuna jumla ya Viwanda 12 vya kuchakata mafuta ya Parachichi Ila serikali kupitia wizara ya kilimo na COPRA wameshindwa kuvilinda hivi viwanda na kuamua kuruhusu export ya second grade avocado kwenda Kenya kwa ajili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

    Katika historia ya muziki wa Bongo Flava na Afrika Mashariki kwa ujumla, jina la Vanessa Mdee linabaki kuwa alama ya mafanikio, ubunifu, na ushawishi mkubwa. Vanessa allijijengea himaya yake si tu kama mwimbaji, bali pia kama mtangazaji napo alifanya vizuri sana. Vanessa alitushtua wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sony wakati inaingia kwenye ushindani wa GAME, Playstation ilijiendesha kwa hasara mwanzoni ila sasa ndio yenye faida kubwa

    Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game. Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
  15. JamiiForums Tanzania Vizuizi havizuii maendeleo ya China, na ushindani wenye haki ni njia sahihi

    Tume ya Kutathmini Uchumi na Usalama wa Marekani na China, iliyoko chini ya Baraza la Mawaziri la Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti ya kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Sekta za Utengenezaji za China wa mwaka 2025. Ripoti hiyo inaona kuwa, baada ya juhudi za miaka kumi, uwezo wa uvumbuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  17. JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa kuliko Richmond, Dowans na EPA utakao haribu kabisa ushindani katika ligi yetu

    Hii kampeni ya Yanga nyuma yake lipo jambo zito, lengo lao sio kupata hivyo vijisenti vyako, lengo ni kuitumia kutakatisha fedha kisha club kupata mgao wa mabilioni. Kuanzia kwenye dirisha dogo mtashuhudia Yanga ikishusha wachezaji tegemezi toka Al Ahly, Mamelod n.k kisha watasingizia fedha za...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa huu usajili wa Simba, Azam na Yanga, tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 2025/2026

    Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
  19. JamiiForums Tanzania Ushindani wa matajiri wakubwa wazawa Tz uwezi kuwapeleka nchi zenye ushindani na bidhaa zao.

    Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo. Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji zilizopangana kama behewa na kila aina ya kampuni wanaweza kupeleka bidhaa zao kushindana ukiachana na mazao.
  20. JamiiForums Tanzania Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

    Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…