ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kununua kiwanja

    Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano hapa dar ila kwa sasa nafikiria nitafute kiwanja nijenge. Wazo la kwanza nafikiria nitafute kiwanja...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

    Habari wanajamvi, Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi; 1)Tuwasiliane tujadili gari...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wanaJF 🙏🙏🙏

    Asasnte kwa kufungua uzi huu. Mimi binafsi, napenda comedy na nafanya comedy pia (stand up comedy). Japo sijafika stage kubwa mpaka watz wakanijua. Lakini huwa naona stand up comedians kadhaa kutoka #chekatu na maeneo mengine pia. Sijawahi jua ni namna gani mtu anaweza fika cheka tu au eneo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba kuhusu Clatous Chota Chama

    Triple C bado ni mchezaji mzuri sana na kwa timu inayohitaji makombe ama kuwa na kiu ya mafanikio haiwezi kumtema mchezaji kama Chama. Maneno ya mashabiki kuwa Simba iachane na Chama akaangalie maisha mahali pengine ni maneno ya watu ambao wamejiunga kwenye tasnia ya soka miaka ya hivi karibuni...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Jambo ndugu zangu Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama Sasa ilo jambo linanitatiza Sijui nyinyi mnanishauri nini
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina ameamua kumtii Mwl Julius Nyerere?

    MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA ________________________ "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Nape Nnauye, Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kwa sababu zifuatazo

    Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo 1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TRC sikilizeni ushauri wa huyu Mkenya Ken Macharia kuhusu ucheleweshaji kukata tiketi na ukaguzi

    Ken Macharia ni Mkenya anayezunguka nchi mbalimbali duniani kutalii yuko Tanzania na akaona apande train ya mwenfo kasi toka Dar hadi Morogoro Kwa mara ya kwanza. Kitu alicholalamika cha Kwanza ni ucheleweshaji kukata Tiketi pale dirishani inachukua karibu dakika 10 kukata Tiketi moja. Pili...
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

    Nangalia maisha ya baamedi hayana tofauti na mchezaji wa mpira. Natumia mfano wa mchezaji wa mpira kwa sababu ana maisha mafupi kwenye kazi kuliko msanii, au mwanamitindo au hata muigizaji. Kama ilivyo hali ya ajira kila mtu anaijua, tufanye baada ya kukosa ajira ukaamua kujilipua kuuza baa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kununua Google pixel 8 pro

    Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana akataa ushauri wa Baba yake kuhusu kuoa Dini tofauti

  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kushare mtaji wa biashara na mpenzi wako?

    Mwanaume nina swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue flash gani nzuri kwenye maduka kati ya kioxera, toshoba, sandisk, n.k. ntajuaje ni feki?

    Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk. Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anapendwa na Mke wa mtu

  17. JamiiForums Tanzania TRC, Chukueni Ushauri Huu na Wenye Mabasi someni hapa

    Kwanza ndugu Kadogosa na ofisi yako ya Tanzania Railways Corp hadi hapo hongereni kwa hatua hiyo japo no kwa kuchelewa sana. Nimepitia ratiba yenu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya usafirishaji abilia, hadi mlipoamua kupachika hii banner ni mmejiridhisha sawasawa. Mmetoa muda wa kutoka Dar...
  18. JamiiForums Tanzania Milioni 200 inatosha nyumba na magari mawili?

    Hajawahi kumiliki nyumba wala gari lake binafsi. Kwa zaidi ya miaka kumi aliyokuwa kwenye ajira alikuwa akiishi na kutumia gari la taasisi. Sasa anataka kuachana na ajira ili asimamie kwa karibu miradi yake. Ametenga milioni 200 kwa ajili ya nyumba na magari mawili. Anataka magari mawili kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!

    Wanabodi Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…