ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kijana mtafutaji, ukijenga Dar unaulazimisha umasikini uendelee kuwepo mlangoni mwako

    Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu...
  2. Nifanye nini nipate mafao yangu baada ya mwajiri kutonipa barua ya kusitisha ajira yangu?

    Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
  3. Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

    Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu! Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo. Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu! Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
  4. K

    KERO Muda wa kulipia ukifika, LATRA imtumie muhusika wa gari control number ya kulipia deni

    Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa. Pili unatakiwa ulete bima...
  5. K

    Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

    Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania. Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi. Hivyo ajali...
  6. S

    Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  7. C

    Fani gani nikisoma ni rahisi kufanyiwa Recategorization?

    Mimi ni mwalimu, naombeni msaada wa fani ambazo endapo nikasomea inakuwa rahisi kufanyiwa Recategorization kwa upande wa halmashauri. Mbarikiwe. #kuna hali imenishinda kuendelea kuendelea kushika chaki
  8. Ushauri kwa kijana

    Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
  9. E

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  10. J

    Ushauri wa ujenzi

    Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
  11. Ushauri wangu Kwa vijana

    1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili Zako zitakuw zinawaza Sex tu. Mambo ya Maendeleo yatakupita kushoto. 2. Acha Kabisa Kuangalia...
  12. A

    Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
  13. Ushauri wangu kwa LATRA, RPC na RTO Morogoro

    Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
  14. B

    Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

    Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki Natamani kufanya biashara Nimesoma Degree ya business administration. So...
  15. K

    Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

    Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike. Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii. Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM...
  16. Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
  17. Ushauri wa kimkakati: Red brigade wapewe mafunzo ili kukabiliana na dhuluma ya polisiCCM.

    Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa. Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba. Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
  18. Ushauri wa Lee Kuan Yew kwa viongozi wa nchi

    According to Tony Brair akimzungumzia Raisi aliyekuwa Kiongozi wa nchi masikini ya Singapore... Lee Kuan Yew. Nadhni Tanzania na Africa we need Raisi mwenye maono kama huyu Lee. hebu msikilize. Piga chini kiswahili kimetuletea umasikini tu na kutufanya zaidi tuwe houseboy n.k hatukubaliki...
  19. L

    Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

    Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process. Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
  20. Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    "Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao. Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…