ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee. Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wapendanao hawa!

    Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanachama wa TLS

    Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo madarakani dhidi ya kundi la Lissu. Hii itatupa tumpime uwezo wake ktk masuala ya uongozi
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu. Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu, Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka . Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm ...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Lissu, akishachukua chama, aanze na haya yaliyomshinda Mbowe kwa miaka 21!

    1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku! 2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama: Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote! "Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!" 3...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya heater bora kwa ajili ya nyumba ya vyumba 4

    Waungwana, amani na iwe kwenu. Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi. Nipo katika hatua za mwisho za kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya kuweka wapangaji. Nyumba ina vyumba 4. Mojawapo ya amenities ambayo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

    Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki. Nashauri chama kimzuie asilete taharuki. Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
  9. JamiiForums Tanzania TRA chukueni ushauri huu (kulipa kwa installments) juu ya kodi kwenye imported goods

    Kwema Wakuu? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Tanzania ni nchi ambayo inaingiza au kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje. Bidhaa hizi zinaweza kua za mahitaji au matumizi binafsi, bidhaa za biashara, bidhaa kwa ajili ya kutoa huduma, etc. Ukiacha bidhaa hizi zinazoagizwa sasa, wapo pia...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wazazi : Wazazi hata kama mnapendana kiasi gani chonde chonde nawaomba msifanye mapenzi mbele ya Watoto

    Wakuu, Leo acha nizungumze na wazazi, wazazi mtanisamehe kwa nitakachokizungumzia hapa leo hii ila naomba mnielewe. Naombeni muda wenu walau kwa dakika kadhaa someni hiki ninachowaasa kitawasaidi nyinyi na watoto wenu. Kuna katabia nimekabaini katika baadhi ya familia sio zote hususani hizi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

    Habarini jamvini? Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha. Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa 90 na Watoto wa 2000 naomba mpite hapa kuna kitu cha kujifunza

    Wakuu! Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000. Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba ushauri

    Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara kwa mtaji wa million moja na nusu

    Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf, Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani kinyozi ampe elfu saba kwa siku Wazoefu wa biashara izo toeni ushauri
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

    Wakuu! Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'. Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana. Pesa ya Karatasi au Noti...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

    Habari yenu ndugu zangu. Niende kwenye mada. Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa. Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku). Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lodge karibu na Edema, Msamvu - Morogoro

    Msaada tutani. Lodge nzuri karibu na Edema. Bei 25k hadi 30k
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…