used

  1. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rav4 massawe used

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji Nissan Dualis Used

    Habari ya asbuhi wajumbe. Ninahitaji Nissan Dualis kaliii nzuri na isiyo na shida. Budget iliyopo ni 12.5M. Kama itakuwa moja kwa moja toka kwa mwenye gari itakuwa vema zaidi lakini hata kama itapitia kwa dalali basi awe wazi kujitambulisha kama dalali. Kama unayo tafadhali nicheki ili tuje...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7

    Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta tenki used la Lita 3000

    Nipo DSM. 0655173113
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kununua gari used

    Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M. Gari ambazo nazifikiria ni 1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000 2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000 3.Nissan march cc 1300 4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000 5. Toyota starlet cc 1300 6...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenga zilizotumika (used) zakubebea kuku

    WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vitu used

    Wakuu Nina goli ninauza vitu used mfano majembe, nyundo, nyaya za umeme used, swichi used, pasi za mkaa used Na makorokoro mengine wapendwa nahitaji sapoti yenu ya hali na mali Nimeyumba kimtaji kidogo pia kama kuna mtu ana bidhaa tajwa hapo juu anaweza niuzia kwa bei nzuri pia, kama...
  9. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Njoo nikuuzie laptop Used safi

    Naomba kuwapa taarifa kuwa nina Laptop nzuri tu ambazo zimetuka na nauza kwa bei simple kabisa! Bei yangu simple sana 1. Lenovo T430 Processor: Interl Core i5 @2.60GHz (4 CPUs) Memory: 6G RAM Storage: 500 GB HDD Battery 🔋: 4 Hours Display size 14 Inch Second Hand Tsh 350,000/= 2. Lenovo T440...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji infinix smart 6 used

    Habari wakuu, mwenye simu tajwa hapo juu , nicheki kwa 0713 039 875
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Camera used, Nikon au Canon

    Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana Bei yangu Nina Laki 2.
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu, ukinunua gari used nenda kabadilishe jina la umiliki

    Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto Nazungumza haya kwa kuwa nimeona mambo kibao yakitokea huko mitaani na menginie ni kwa watu wangu wa karibu. Unakuta...
  13. JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa Simu Used Kariakoo mnahakikishiwa vipi kuwa zile simu zimetoka Dubai kweli na hazijachanganywa na za wizi?

    Tangazo linajitosheleza one mistake one goal mnaambiwa toka Dubai kumbe watu wametumia hapa mjini wamefanyia uhalifu wakaenda kuziuza Kariakoo au wakafanya top up anatoa aliyonayo anaongezea anachukua mzigo mpya.
  14. JamiiForums Tanzania Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone X used

    Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri jamani, nimeshaharibu sinunui tena vitu used

    Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie. Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba. Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

    Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
  19. JamiiForums Tanzania Kariakoo sehemu gani naweza kupata simu used kwa bajeti kama laki 2?

    Wazee kichwa cha habari kinajitosheleza
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa cover za nyuma za side mirror unakuwa kwa kasi unazaminiwa na wauza spea (used) wa magari

    Habari wadau. Kuna wizi wa ajabu sana kwenye magari. Wanaiba cover ya nyuma ya side mirror tu sababu ni rahisi kuzichomoa. Hawachukui side mirror nzima. Na wanaiba sababu wanajua mwenye gari lazima ukanunue tena hicho ki cover. Wezi wanaenda kuwauzia wauza spea hivyo vi cover vya wizi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…