usawa

Lawndale is a town in Cleveland County, North Carolina, along the First Broad River. The population was 606 at the 2010 census.

View More On Wikipedia.org
  1. Blasio Kachuchu

    Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  2. comrade_kipepe

    Kijiji gani kipo usawa huu?

    Ukifika mjini/mkoani nauli ya kwenda huko ni eldu 20 au 30 mkoa huo hio wapi huko pako hivyo kuna kitu nataka nikaangalie
  3. M

    Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  4. P

    Kwenu Waharakati wa Usawa

    Kuna Kitu Sijaelewa bado. Unakuta Mdada au Mmama au hata Baadhi ya Wanaume wakijenga Hoja kuwa Suala la Malezi ya Watoto na Kusimamia Nyumba ni jukumu la Sawa kwa sawa baina ya wanandoa(yaani Mwanamke na Mwanaume) Hivyo Ile dhana ya kwamba mwanamke abaki nyumbani alee watoto na atunze mji ni...
  5. Just Pray

    GE2025 Kutoa magari kwa wagombea ndiyo kunatumika kama kipimo cha usawa?

    Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya makao makuu...
  6. Damaso

    Ukosefu wa Usawa katika Mikopo ya Kibiashara

    Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao hulipa riba ya takribani asilimia 3 pekee. Lakini mfanyabiashara wa kitanzania anapokopa katika...
  7. Komeo Lachuma

    Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

    Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri tu Putin aseme kitu kuchangamke. Ndo unagundua kuna kitu Marekani wameona kwa Urusi.
  8. M

    Mke ana Hernia usawa wa kitovu pembeni ameambiwa operation

    Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4 Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba Hali ikitokea anakaa katika maumivu...
  9. Roving Journalist

    PreGE2025 Ismail Jussa Ladhu: Kuna haja ya kutazamwa upya mfumo wa Muungano ili kuleta usawa, Zanzibar haikuridhia Muungano

    Makamu Mwenyekiti Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema Zanzibar wakati inaungana na Tanganyika mwanasheria mkuu wa Wakati huo hakushirikishwa na alipelekwa likizo ya lazima. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuna haja ya...
  10. S

    Tanzania tunaanza kuwa na Makaburu weusi wasiovumilia lolote kuhusu marekebisho ya Katiba au haki za uchaguzi, wakiviona ni uvunjifu wa amani nchini!

    Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
  11. Natafuta Ajira

    Hakuna usawa kwenye akili ya mwanamke.

    Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze. Ukweli ni kwamba, hakuna 50/50 kwenye akili ya mwanamke, ni either uwe umemzidi kwa mbali akupe hadhi...
  12. ELI COHEN

    Warembo wanatumia karibia mwezi mzima kuenzi siku yao. Huu muda wote wakumbushane usawa wanaoutaka wautumie pia kuchangia katika matumizi equally

    Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara. Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs. Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
  13. S

    Dunia yenye kila aina ya maumivu inathibitisha kuwa Mungu mwenye upendo na huruma hayupo

    Dunia yenye vita, Dunia yenye kila aina ya majanga ya asili(tsunami, tetemeko n.k),Dunia yenye vichaa, Dunia yenye ukatili wa kila namna, Dunia yenye vipofu, Dunia yenye ajali, Dunia inayobagua walemavu na wazima, Dunia inayobagua makapuku na wenye navyo. Hayo yote yote yanathibitisha Mungu...
  14. JanguKamaJangu

    Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  15. ELI COHEN

    Kila unapoiona defender ya polisi inakuja usawa wako unaanza kujiwazia hivi kuna issue gani labda umezingua😂

    Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
  16. ELI COHEN

    Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  17. Financial Analyst

    Yani uchafu waliouondoa UAE eti Ulaya ndio wanao entertain kwa minajili ya liberty na kuwa politically correct

    Ebu ingia hapo UAE, nchi ya Kiarabu iliotajirika, nchi yenye nguvu kuu yaku-attract asilimia kubwa ya wahamiaji kutoka mataifa ya kiarabu mengine lakini ... Hakuna grooming gangs Hakuna rape cults Hakuna extremist organizations Hakuna extremist charities Hakuna extremists on welfare Hakuna...
  18. Waufukweni

    LGE2024 RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Tendeni Haki na Usawa kwa Vyama vyote kulingana na Kura vitakavyopigwa

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa. Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
  19. Mhaya

    Hakunaga usawa baina ya mwanamke na mwanaume

    Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa kwenye nyanja mbalimbali. Lakini ukweli ni kwamba, anguko kubwa la mwanaume linaanzia kwa mwanamke...
Back
Top Bottom