Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery.
Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba.
Hii...
Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi...
Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo.
Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa.
Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa...
Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara...
Mipira imeisha
Pesa za Abdul zimeisha
Chauma imedoda
ACT imedoda
Tumezunguka uwanja wee Sasa tumerudi kwenye original starting point ya Chadema.
Ni Kama tulipoteza muda wetu bure na makusudi
Usanii wote na mamipila yenu kuwapumbaza Watanzania yameisha Sasa.
Tunahitaji reform sasa buddy...
Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia.
Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye...
Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea.
Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao.
Hakuna mtu...
AMA WATENDAJI DAWASA WANAMDHARAU WAZIRI AWESO AU WAZIRI AWESO ANAFANYA USANII KWA WANANCHI!
WADAU poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nataka kuzungumzia tatizo la maji maeneo ya Tabata, Kinyerezi, Bonyokwa na Kifuru.
Hivi karibuni, Waziri wa Maji, Juma Aweso alitembelea baadhi ya maeneo ya...
Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida?
Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze? Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii...
Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni.
Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema Diwani wa Kata hiyo, Zakalia Mkundi siku ya jana alikuwa anafanya kazi ya ugawaji wa Kadi na...
Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated.
CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha.
Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
Shalom
Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki.
Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD.
Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha.
https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp
Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s...
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi.
Haheshimiwi vipi?
Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu?
Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa zinawacost.
Ukweli ni kuwa wamepata pa kuwashika.
Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!!
Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana ikatokea kweli ama isitokee, lakini Kama ni kweli basi kuna wahuni wanaendelea kupiga 10% kwa...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa.
"Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.