Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani.
Na kwa Ayoub Katuga...
Kwahiyo tumeanza kupangiana cha kufanya kwenye magroup au sio?
=============
Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka viongozi wa makundi Whatsapp kuchukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa taarifa za uchochezi na uvunjifu wa amani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa...
Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri.
Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA .
Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa..
Wakala huo ambao...
Wakuuuu!
Wakati taifa letu likielekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vya siasa vimeanza mchakato wa kuwapata wagombea wao. Hata hivyo, kumekuwa na hali inayoibua mjadala, baadhi ya vyama vimeonekana kugawa kofia, tisheti na hata vitenge vyenye nembo zao kabla ya muda rasmi wa kampeni...
WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii.
Hayo yameelezwa...
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Habari wakuu,
Husika na kichwa Cha habari, Tumekuwa tukifanya usambazaji wa bidhaa za dukani(pipi,tomato,n.k) kwa kutumia mfumo wa store, Yani unaingiza mzigo store Kisha unapita maduka ya jumla kutafuta oda za vitu mbalimbali ili uweze kumpelekea mteja.
kwa ufupi Ni Kama distributor lakni Katka...
Habari wana forums,
Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi.
Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi kasi ni ya kusuasua sana, tena wengine ni mpaka watumie njia ya mkato.
Hii ina maana Tanesco, pamoja...
Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii
I) KUELIMISHA UMMA
Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii.
Pichani ni boss wa ziiki...
Kaenda zake kujilia mabikira.....
he IDF has intensified operations within Shifa Hospital in recent weeks, where they killed numerous terrorists, including a Hamas official.
By JERUSALEM POST STAFFMARCH 28, 2024 20:23Updated: MARCH 28, 2024 20:51
Hamas official Ra'ad Tabath.(photo credit...
Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu.
Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake.
Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa.
Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.