usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Fr. Kitima na Maoni ya watu kwenye Msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina! Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo. Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa huduma za ulinzi na usalama wa mali zako

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Utete wa usalama wa Khamenei kwa kuibuka uasi

    Mnamo tarehe 24 Februari kundi la mujaheddin El Khalq lenye asili ya watu wa KURDI lilivamia makazi ya Ayatollah Khamenei na kuyashambulia kwa risasi. Idadi ya wanamgambo hao walikua wasiopungua 200 walivamia makazi ya Khamenei kwa lengo la kumuua na kuanzisha mapinduzi wakishirikiana na...
  4. JamiiForums Tanzania Huduma za ulinzi na usalama

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  6. JamiiForums Tanzania DUNLOP: Sio tairi tu, ni uwekezaji wa usalama kwa chuma chako!

    Watu wengi wanapoulizia tairi, mara nyingi wanawaza bei kwanza. Lakini kama unajua thamani ya gari yako na usalama wa watu uliobeba, huwezi kuacha kuliwaza jina moja tu: DUNLOP. Kwanini mimi nawashauri watu Dunlop? Hizi hapa ni sababu chache za kishkaji: 1. Hawa ndio mabingwa wa historia Ukweli...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ni ushahidi kuwa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuna shida ya watu Wazalendo

    Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo. Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa kukosekana wazalendo katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Jambo la msingi: Kupitia mauji ya Oktoba...
  8. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Samia, Kikwete na genge lao hawajali usalama zaidi ya familia zao na pesa

    Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Samia: Tanzania tunamuunga mkono Museveni kuimarisha usalama Maziwa Makuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
  11. JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa kina, vijiridhishe kama waliokamatwa Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru kama alivyoahidi Rais

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
  12. JamiiForums Tanzania Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri zetu kugawa namba za Watumishi kwa Micro-finances sio sawa

    Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je, taarifa za watumishi hawa haswa mawasiliano yao zipo salama? Lakini kama hawa watu wanaweza kujua hadi...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wa kupiga deki hakikisha hili kwa usalama wa afya yako

    Haya wale wazee wa kutafuta ujiko kwa kufyonza bakteria na chembechembe za nnyaa.... Jambo la kuzingatia huyo mwanamke msafi au papa yake anajua kuitunza au ndio harufu ya samaki kama tupo ferry. Inakata stimu unapukua faragha upo na pisi inaita kwa nje kwa ndani harufu ya papa kama kaficha...
  16. JamiiForums Tanzania Maeneo makuu ya kazi ya usalama wa taifa

    Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa 1. Ujasusi Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje ya nchi hususani nchi adui. Usalama wa taifa huwa wanatumwa kimkakati kwenda nchi fulani ambayo hua...
  17. T

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwa CIA, usalama ni kwa ajili ya nchi. Si kwa ajili ya chama fulani

    Tunapoanza mwaka 2026 na kusherehekea miaka 250 ya Taifa letu, CIA inaendelea kujitolea kikamilifu kuunga mkono vipaumbele na misingi ya usalama wa taifa wa Marekani. Kila siku—kwa ari na dhamira ileile ya waliotutangulia—maafisa wetu hutumia uwezo wa kipekee kukusanya, kuchambua, kutathmini na...
  19. JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kilichotokea Venezuela ni Rais kutoswa na Jeshi na Vyombo vya Usalama; hii ni wake-up call kwa Colombia!

    Kilichowatokea Venezuela masaa machache yaliyopita, kinathibitisha ukweli wa ile narrative isemayo: ukitaka kuiponya nchi yako na uvamizi wowote kutoka nchi za nje, basi hakikisha una uungwaji mkono wa kutosha ndani ya nyumba yako -- wananchi, jeshi, na vyombo vingine vya usalama. Huo utatu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…