usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Dondoo za Usalama unapotumia Mitandao ya Kijamii

    Ndugu mwanaJamiiForums kila unachoweka mtandaoni ni uamuzi na uhuru wako lakini maamuzi ya watu wengine wafanye nini taarifa uliyoiweka hilo haliko kwenye mikono na uamuzi wako Chukua muda wako na ujifunze kuhusu dondoo za usalama uwapo kwenye mitandao ya kijamii. Pitia na urekebishe mipangilio...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wakuu wote wa Mikoa wakabidhi mchango wa msikiti wa Chamwino

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Dhana ya kushinda Uchaguzi bila Kupingwa ni hatari kwa Usalama wetu

    Kushinda uchaguzi bila kuchaguliwa kwa kisingizio cha kupita bila kupingwa ni jipu ambalo yafaa litumbuliwe haraka ili kuleta usawa na kushamirisha amani ya Nchi yetu. Haiingii akilini kuwa mtu anaweza kutumia mbinu wazi au fiche kudhibiti washindani wenzake na kisha aonekane kuwa ni chaguo la...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze mambo muhimu ya kuzingatia katika usalama wa barua pepe (Email)

    Maana ya Usalama wa Barua Pepe (Email Security) Usalama wa Barua pepe ni hatua zote muhimu ambazo zinatumia kulinda mawasiliano na taarifa zinazokuja au kutumwa kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine. Ulinzi huu unahakikisha hakuna Mtu asiyemlengwa au kuhusika / mdukuzi anayepata fursa au nafasi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu

    Baada ya Makonda "mtoto wa Baba" kutumia mtaji wa kisiaasa kuruhusu Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu. Bodaboda hao, hupita njia ya mwendokasi lakini service road ambayo indact ni ya waenda kwa miguu. Bodaboda , wamekuwa wakikwapua...
  7. JamiiForums Tanzania Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

    Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu Shambulizi na utekaji wa Bandari ya Msumbiji na IS

    ...
  10. JamiiForums Tanzania World Bank and Road safety

    The UNRSF and GRSF Announce Partnership to Improve Road Safety Delivery in World Bank Funded Projects in Tanzania The Global Road Safety Facility (GRSF), hosted by the World Bank, and the United Nations Road Safety Fund (UNRSF) will jointly support a comprehensive evaluation of the first global...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanza leo: Je, Tundu Lissu ana "Special Personal Inteligence" inayofanya monitoring ya usalama wake?

    Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga. Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza. Hapa Nyegezi ndipo...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu A. M. Lissu & "Protocol Security" yake....

    Nimefurahi kusoma taarifa nyingi humu kuhusu "convoy" ya Tundu Lissu inavyoendelea katika mikoa 10 kuzifuata saini za wadhamini ili wampe uhalali wa kuteuliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.... Safari ilianzia Dodoma mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa ugombea Urais wa...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    D
  14. JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kujibu swali la dizaini hii basi haufai kufanya kazi Usalama wa TAIFA ( Intelligence Officer)

    Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA. Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lamtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni!

    Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani. Source East Africa Radio! Maendeleo hayana vyama!
  16. JamiiForums Tanzania Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

    1054 31ST ST. NW, STE 110 WASHINGTON, D.C. 20007 +1 202 301 8811 OPEN LETTER TUNDU LISSU’S RETURN TO TANZANIA: GOVERNMENT CONDUCT TO BE CLOSELY MONITORED AND DOCUMENTED; POTENTIAL ACTS OF HARASSMENT, INTERFERENCE, OR VIOLENCE WILL RESULT IN CONSEQUENCES...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

    Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA. Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao. Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa Uhamiaji na Usalama. 1. Mgeni huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msitupotezee pesa zetu kufuatilia wanasiasa

    Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akili nje ya Usalama: Undeni special unity kufuatilia maudhui ya mikutano ya uchaguzi 2020

    Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake. Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu kujinadi. Ila nawaza ikiwa idara zetu zimejiandaaje kwa uchaguz wa mwaka huu ambao utakuwa tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…