The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.
----
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.
Mitandao ya kijamii ni daraja la mawasiliano, elimu, na burudani.
Lakini pia ni jukwaa la uvumi, propaganda, na uharibifu wa maadili.
Je, jamii inapaswa kuweka mipaka kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda usalama wa raia na taifa, au uhuru wa kila mtu wa kusema, kushirikisha, na kufikiri ni...
Idara ya usalalama wa taifa makini ni ile ambayo inamuambia rais aliyepo madarakani ukweli.
Kama raia wanamchukia kwa ufisadi na mambo yasiyofaa anaambiwa ukweli.
Sio kumdanganya kuzunguka na mabasi ya Yutong zaidi ya 80 alafu wananchi wanamchukia huku anafanya kampeni.
Hata Mwalimu Nyerere...
"Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika ni walaji na ni walafi na wanafanya vitu kama vile wananchi wa sasa hivi hawana elimu, lazima tufahamu sasa hivi ukienda sehemu yoyote hata kama ni kwenye kijiwe cha bodaboda utamkuta mtu wa chuo kikuu, utamkuta wa 'form...
Kazi kuu ya usalama wa taifa ni kukusanya na kuchambua habari za kiusalama
Kuna maeneo makuu manne ambayo yanafanywa usalama wa taifa
1. Ujasusi
Inahusu ukusanyaji wa taarifa za kiusalama nje ya nchi hususani nchi adui. Usalama wa taifa huwa wanatumwa kimkakati kwenda nchi fulani ambayo hua...
Kweli Rais Samia hana washauri..
Katambi hana uwezo wa kuongoza wizara kama hii ambayo Igp na watumishi wa wizara hii wanatakiwa kulipoti kwake.
Mbaya zaidi mpaka sasa nchi hii haijatulia kisiasa.
Wizara kama hii ambayo ni nyeti kwa usalama wa taifa ilipaswa kuwa chini ya mwanasiasa anayejua...
Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%.
Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
Kumekuwepo na vikundi visivyo rasmi vikiteka na kuuwa raia hali hii inahatarisha usalama wa taifa kunatoa mwanya kwa majambazi kufanya uhalifu.
Huwezi kumtofautisha polisi na jambazi vyenyewe kutokana na kwamba havina sare zozote.
Je, vyombo vya usalama vimetoa maelezo gani ili wananchi...
Viongozi wa Afrika kwenye mali za umma wawekewe restrictions kali kwasababu default settings wanawaza UPIGAJI
Mnamo Aprili 2017, Taasisi ya kupambana na rushwa wa Nigeria iligundua kiasi kikubwa cha fedha taslimu katika ghorofa moja eneo la Ikoyi, Lagos, takribani dola milioni 43 za Marekani...
Unaweza kusema jitu la msituni Clemence Mwandambo mr Teacher anaendelea kupiga kwenye mshono mbichi kabisa!
Leo kaja ya kuhoji kazi ya usalama wa taifa, kwamba usalama wa taifa ni kwaajili ya taifa au ni usalama wa wananasiasa? na anasema kama ni usalama wa wanasiasa kwa nini waitwe usalama wa...
Mzee huyu ni marehemu. Alifanya kazi na mwalimu Nyerere.
Alisema kila suala linalohusu kiongozi ni special branch. Ilikuwa ikimpatia rais taarifa za mtu yoyote anayefaa kuwa kiongozi.
Leo hii hakuna special branch. Kuna Tiss. Sidhani kama wanafanya kama enzi za Nyerere.
Wangekuwa wanafanya...
Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi
TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo...
Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la taifa, lengo la kikao lilikua kufanya tasmini ya kilichotokea maana hawakukitarajia kabisa baada ya...
Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye...
Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine.
Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa.
Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
Ni vigumu kusema kwamba watu wa kawaida wangeweza kutabiri yaliyojitokeza October 29 na takribani siku nne zilizofuatia mbeleni lakini kuelekea siku hiyo tulitegemea wale wanaosifiwa sana na wapambe wao kwamba wana macho kote, kwamba huwa hawalali ili taifa tuwe salama na kwamba hakuna anayeweza...
Abdul ? Kijana ambaye kichwani ni mweupeeee peee pee ! Ndio ambaye ameruhusiwa Kua na mkono wa Kiutendaji Ndani ya TISS ?
Yaan Abdul huyu Kichwa maji ndio naye ameruhusiwa kuwachomekea Washikaji zake kwenye Taasisi kama hii?.
Yaan TISS imegeuka kua Taasisi Kwa ajili ya Kupambana na UPINZANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.