usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KWA USAJILI HUU LIVERPOOL NI FAVOURITE WA UBINGWA EPL 2025/2026

    Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao. Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:- Frimpong Kerkez Wirtz Ekitike Msimu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna mchezaji anaitwa mousa cisse katika mechi ya CECAFA leo, bonge la mchezaji simba usajili huo

    https://youtu.be/8QcNer8ha9Y?t=95
  3. JamiiForums Tanzania Aina za Usajili wa Biashara na Faida Zake

    Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara. A. Usajili wa Jina la Biashara...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  5. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal Kenya wafanya party kusherehekea usajili wa Viktor Gyökeres

    Wakuu! 😄 Mashabiki wa Arsenal kule Kenya wameamua kupiga party ya nguvu kusherehekea usajili wa mshambuliaji hatari Viktor Gyökeres!
  6. JamiiForums Tanzania Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  7. JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

    Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
  9. JamiiForums Tanzania Kipindi cha furaha simba huwa wakati wa usajili tu

    I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu atoke Tshabalala msaliti Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana. Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  11. JamiiForums Tanzania Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  12. JamiiForums Tanzania Habari hii imfikie mzee Mangung Tafadhali sana

    Tafadhali sana yeyote mwenye access ya kumpata mzee Mangungu amfikishie hii habari. Mangungu wewe ni shujaa wetu unaipenda Simba kuliko Mo Dewj. Tafadhali tusajilie wachezaji bora achana na porojo za Mo, tena mfukuze ikibidi tutaaibika.
  13. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care). "Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kujua Kama Jina la Biashara Yako Linapatikana Kwa Ajili Ya Usajili

    Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje" Nikamwambia "Jennifer ulikosea" Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vingi vya Kati vinagoma kufuta usajili wa Mwanafunzi kama anataka KUSITISHA au KUOMBA PENGINE

    Vyuo vingi nchini viliyo chini ya NACTEVET haswa hivi binafsi havitaki kutoa haki ya mtu kufuta usajili na kujiunga na chuo kingine. Serikali iingilie kati hili suala, watu wanakaa mtaani kwa kushindwa kuomba pengine kwa sababu wamekuwa admitted kwenye chuo kingine
  16. M

    JamiiForums Tanzania Usajili wa pikipiki

    Wakubwa kwema ,, naombeni mnisaidie namna ya kusajili pikipiki maana mwezi uliopita nilinunua pikipiki aina ya kinglion kama tatu hivi nikawapa vijana sasa sikupewa kadi kwa maana ya kwamba saiz mfumo wa kusajili kwa jina la kampuni hawafanyi saiz , hivyo mteja ndiyo anatakiwa anaacha Tin number...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Jenshalee a.k.a kiungo wa penalty, Debora a.k.a kiungo wa benchi na Mutale a.k.a SGR, Tutarajie usajili gani mpya?

    Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?
  18. JamiiForums Tanzania Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

    Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Kampuni & Compliance Journey for Businesses in Tanzania

    Tuwasiliane leo: WhatsApp: +255674916323 Piga: +255674916323 Huduma Zetu: USAJILI wa Kampuni, Jina la Biashara,Vikundi na NGOs - Kwa muda mfupi! Tax Clearance Leseni za Biashara Company/NGOs Profile Usajili wa Alama za Biashara na Huduma Blog na Website, na mitandao ya kijamii Sera ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…