Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano watumishi wa afya kama tulivyoona hivi karibu au kada Tutorial Assistant imebaki kama zamani, asante.
MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA?
Na Josephat H
Interview And Carrer Coach
+255656480968
Dar Es Salaaam, Tanzania
👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
Juzi kati ilikuwa inapita barua mtandaoni ya kutaarifu kuahirisshwa kwa usaili wa kada ya ualimu. Sa mtandaoni kwenye status ajira portal haipo haionekani taarifa hiyo.
Ukweli ukoje waungwana?
Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa.
Afya mpaka leo hakuna Pdf.
Je, kipi kiko nyuma ya haya?
1. Serikali haina Hela.
2. Utumishi wamelemewa.
.
.
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.
Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira.
Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote.
Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS
For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below:
Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
👉One of the biggest concerns people have during interviews is the fear of being unfairly judged by the interviewer based on attitude and perception. Today, I will share how your marks are protected. Naaam!
Mchakato wa utoaji maksi umedhibitiwa vizuri kwa kiasi hasa pale sekretariate ya Ajira😁...
MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL.
+255656480968
👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able to be scored. The answers should also be measurable and follow specific criteria.
For example, if a...
JE, KILA MTIHANI NI FURSA YA KUFANIKIWA ?
Nataka uweke hili kwenye akili yako: Unaweza kufaulu Aptitude Test au Written kwa maksi za juu sana kiasi cha kuwa wa kwanza ila ukakosa ajira. Naam!
Najua wengi mnashangaa. Ungana nami ujifunze na uepuke kuwa miongoni mwao.
Is it possible for me to...
Leo nataka kujibu swali hili kwa kuzingatia uzoefu na usaili unaoendeshwa na mataifa mengine katika kada ya elimu.
Kwanza, walimu wengi wanaojiandaa kwa mitihani ya usaili wa Sekretarieti ya Ajira wamekuwa na maswali mengi kuhusu mada zitakazojumuishwa kwenye mtihani wa maandishi (Written...
Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi.
Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi?
Yaani...
Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa kitakachoulizwa kwenye mtihani, ni muhimu kuelewa lengo la aptitude test na kujifunza jinsi ya kujiandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.