usaili

  1. N

    JamiiForums Tanzania Usaili wa T. R. A ulivurugwa

    Eid Mubarack ndugu zangu watanzania na Viongozi wetu mbalimbali mliopewa mamlaka ya kusimamia haki katika Taifa letu,nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Leo naomba niongee na Viongozi wetu hawa wakiongozwa chini ya mh @samia_suluhu_hassan Mh Rais na waziri mwenye dhamana ya...
  2. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia jana kwenye usaili wa tra,nashauri bora hizi ajira ziwe zinasimamiwa na PSRS tu.

    Habari za asubuhi wakuu. Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii. Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
  3. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu...
  4. Isenye

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  5. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)

    Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya walioitwa kwenye Usaili wa mchujo TRA

    PDF
  7. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

    Mambo vipi wakuu? Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu. Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia...
  8. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Usiende kwenye usaili wa Mchujo bila kusoma Makala hihi na kupata matibabu haya

    https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7 HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako. 👇👇👇👇👇👇👇👇 https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
  9. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Usaili TRA tax manager and internal affair officer position mock test

    Wakuu Habari zenu. Wale walio tuma mahombi Tax Manger position na Internal Affair Officer tuchangamshe vichwa na Maswali ya Miaka ya nyuma. IMPORTANT ANNOUNCEMENT ALL CANDIDATES EXPECTED TO SIT FOR THE TAX MANAGEMENT OFFICER APTITUDE TEST MUST TAKE THIS TEST:👇👇 📌 TAX MANAGEMENT OFFICER II...
  10. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: maswali ya usaili (Written interview - economist)

    Wakuu mambo vipi? Naombeni msaada mwenye maswali ya usaili (written interview) kwenye upande wa uchumi (economist) naomba anisaidie.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa mahojiano lakini wenzangu kama watatu hivi wao wamepangiwa mpaka usaili wa oral. Naombeni msaada...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

    Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote? Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu. Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  17. Holota

    JamiiForums Tanzania USAILI BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

    Wakuu kwa mwenye uzoefu au ufahamu kuhusu writen interview ya bot kwa kada ya Bank officer III atusaidie walau tujue kwa kuanzia
  18. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Habarini Wakuu!!!!!! Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania. Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596. Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana...
  19. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa somo la Geografia kwa walimu

    Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana. Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979 Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948 Na ambao hawajachaguliwa (Not selected) jumla ni 20,031 Ukuzidisha kwa idadi ya mikoa yetu 26 utaona kila mkoa wameitwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania KUMEKUCHA! KUMEKUCHA WALIMU WAPYA.

    KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
Back
Top Bottom