usaili

  1. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

    Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waliofaulu usaili Jeshi la Polisi kuripoti Moshi Juni 12–14 kwa Mafunzo

    Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Taarifa ya...
  3. James 25th

    JamiiForums Tanzania Usaili kwanjia ya online

    Napenda kuuliza kwamlio wahi kufanya interview za utumishi kwanjia ya online, hua inakuaje? Sababu nimeitwa nasijui inakuaga vipi. Mnijuze kwamnao jua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Habari zenu wakuu. Ndugu yangu amezuiliwa kufanya oral interview kwa sababu ya utofauti wa majina. Majina kwenye vyeti vya taaluma na Nida yapo sawa. Jina lake katika cheti cha kuzaliwa lipo tofauti kidogo. Kaenda na Affidavit ya kukonfirm kua majina yote hayo ni yake. Written interview...
  5. paul paschal

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kufanyia usahili wa mahojiano

    Wakuu habari, Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena Kuna tangazo linasema wasailiwa wa usaili wa mahojiano Wafanyie vituo walivyoainisha sasa sielewi...
  6. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania The best psychological strategy to pass aptitude test in any job

    AWA YA KUFAULU APTITUDE TEST IMEPATIKANA Introduction to Psychological Traps in Aptitude Testing Question perspective Prepared by: Naaam (Meet Me) Purpose: they use over 200 techniques in aptitude and psychological tests not only to assess what a candidate knows, but also to understand how...
  7. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Afisa mazingira daraja la ii tunapaswa kusoma wapi angalau kuvuka usaili wa kuandika

    Naomba kujuzwa wapi tusome nafasi ya afisa mazingira daraja la II kwa ailiyewahi kufanya usaili kwenye hii kada
  9. JUHUDI M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote aliyekata rufaa kuhusu matokeo ya usaili wakuandika TRA kaitwa??

    Habari Wadau. Naomba kujua kama kuna mdau yeyote aliyekata rufaa kuhusu yale matokeo ya usaili wakuandika wa TRA Kama kaitwa kupatiwa ufumbuzi au kajibiwa kwenye email yake?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Oral TBS unakuwaje?

    Habari wadau, kwa yeyote anaefahamu usaili wa oral TBS upoje kwa nafasi ya esearch, quality assurance or inspection officer unakwaje?, maswali gani ni common sana? au kama umewahi fanya usaili wa TBS na unakumbuka maswali uliyoulizwa nomba tusaidie tuwaokoe vijana na Mungu akubariki.
  11. iddy mweka

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  12. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Nimekandwa saili tatu mfululizo bila kwenda oral hata moja kwa kweli ni huzuni sifanyi tena usaili wowote

    WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA 2025

    Matokeo haya hapa https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf Hongereni mliochaguliwa mmeupiga mwingi
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa kuandika TRA uliofanyika tarehe tarehe 29 na 30 March 2025

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
  16. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

    Habarini wakuu Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  20. hon daniel killion

    JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
Back
Top Bottom