usaili

  1. Soul21

    JamiiForums Tanzania Kama usaili ndo huu basi si kigezo cha kupata walimu bora.

    Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500 Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini. Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu...
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  3. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  4. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test Usaili wa walimu

    Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test 1. Tambua Majukumu Yako ya Kazi Anza kwa kuelewa kwa kina majukumu yako ya kazi. Unganisha majukumu hayo na dhana maalum, kanuni za utendaji, au moduli zinazohusiana. Hii itakusaidia kuelewa lengo la swali, nini kinachopimwa, na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania USAILI KADA YA UALIMU

    Habari wadau!!?? Naomba kwa yule aliyefanikiwa kufanya usaili wa Diploma Ualimu, anisaidie Dondoo za Usaili wenyewe ukoje. Content ni zipi ?
  6. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  7. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya usaili wa Kada ya ualimu, wasailiwa walala kwenye chumba cha usaili

    Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo". Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala kwenye chumba cha usaili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini;
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha usaili kada ya elimu zinafikirisha sana

    picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma . Any way tusubiri ripoti ya waziri. Soma Pia: Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili
  9. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania MASWALI YA KUJIPIMA NA USAILI ENGLISH TEACHERS TANZANIA

    ENGLISH TEACHERS TANZANIA As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test , it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed. As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
  10. G

    JamiiForums Tanzania TEACHER'S ONLY: KAMA UMEFANYA USAILI PITA HAPA.

    Huu uzi ni mhimu kwa mwenye mapenzi mema na watakaofuata watusue tusu la usaili. usiogope kutupa tips za nini umekutana nacho wakati wa kusailiwa, Maswali, uzoefu na taratibu zingine. Ndugu kuwa shuhuda ili vijana watusue, usiogope tiririka... Karbu.
  11. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Tunaungana kwa pamoja kwa mafanikio ya usaili wa walimu

    Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani. Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

    KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo. Sasa concern yangu...
  13. MduduAli

    JamiiForums Tanzania Usimsikilize anacho sema mwenzio mnapo kwenda kwenye usaili pale mpo vitani

    umesubiri kwa muda mrefu then simu hyo “Fika kwenye usaili siku fulan muda huo” umejipanga vzur kusali sana Nondo zimekaa.. Unafika kwenye uwanja wa usaili unakutana na mwenzio pia amekuja kwenye hiyo hiyo Interview.. hapo kuna Kuwaga na watu kazi Yao ni kukupotezea direction tu yan anakupoteza...
  14. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Maswala ya usaili walimu : angali sample ya mtihani kwenye ujumbe huhu kujipima uwezo binafsi kuelekea aptitude test

    MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha "possible." Maswali Haya ni ya Jumla Hata hivyo, ili kupata majibu na msaada mwingine wa mentorship...
  15. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  16. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025. Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024. Soma zaidi <<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Walioitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi O-Lake Energies Ltd.(Lake Oil) wanatakiwa kuchangia 30000/= ya chakula na malazi

    Habari, naomba Kusaidiwa katika hili hizi ajira wanasema 30,000 ya malazi ni za kweli Maana walioomba Ni wengi sana
  19. Dilan

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa alyewahi kufanya usaili tie (tanzania institute of education) editor ii

    Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
  20. Chibike

    JamiiForums Tanzania Binti afanyiwa uonevu na anyimwa haki ya kuitwa kwenye usaili

    Ni jambo la ajabu lakini la kweli. Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach barua ya maombi ya kazi. Binti huyu alikua na sifa zote kama kazi ilivotaka na pia system ilimuwezesha...
Back
Top Bottom