usaili

  1. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
  3. Wakujibwea45

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

    Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jiandae kwa usaili kada ya afya

  6. Escobber pablo

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kifanya usaili wa kidigitali/ kielectronic

    Kufuatia tume ya Utumishi wa mahakama kutoa majina ya watakao fanyiwa usaili kufanyika kwa njia ya kielectroniki. Karibuni wakuu tupeane maujuzi jinsi ya kutoboa kwenye huu usaili kwa wale wenye uzoefu kidogo. Na ni vitu gani vya kujiandaa navyo wakati wa usaili
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi fanyeni usaili wenu kikanda, kutoa watu mikoa tofauti kufanyia usaili Dar ni usumbufu mkubwa

    Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa na haki, mpate watu sahihi.
  8. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Tupeane nondo jinsi ya kupita kwenye usaili wa tume ya taifa ya uchaguzi

    Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM...
  9. engineerafrican

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema mfumo wa usaili kwa njia ya kidigitali utapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa wasailiwa wa ajira tofauti na hapo awali ambapo watu walilazimika kusafiri hadi Jijini Dodoma kwa ajili wa...
  11. mercphason

    JamiiForums Tanzania Kwenye Usaili wa Udereva wa Serikali mambo hani huzingatiwa?

    Wakuu, naomba kujuzwa kwa anaejua usaili wa dereva wa serikali uwa mambi gani muhimu yanaulizwa na kuzingatiwa. Asante.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Usahili jeshi la zima moto na uwokowaji

    USAHILI JESHI LA ZIMA MOTO NA UWOKOWAJI
  13. I

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi uliyokuwa unafanya mwanzo kabla ya kushushwa cheo

    Habari wakuu, Ninaomba ushauri wa jambo hili. Miaka miwili iliyopita niliashushwa cheo kutokana na kutoelewana na mfanyakazi mwenzangu ambaye hayupo tena kwenye kampuni yetu. Sasa nafasi hiyo imetangazwa tena ila kwa mkoa mwingine. Na mmoja kati ya wahusika wa usahili ni kiongozi aliyekuwepo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa usaili kwa jeshi la zimamoto unatoka lini?

    Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka. Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho. Mwisho japo si kwa umuhimu: wanatarajia kwenda depot mwezi gani?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Placement za PSRS kuchelewa kwa muda mrefu

    Habari zenu wakuu? Kuna suala linanichanganya sana akili. Ni kuhusu placement za PSRS kuchelewa mno. DUCE walikaa miezi mingi kabla ya kuitwa (sio chini ya 8). Kwa sasa kuna kada tangu ifanye usaili mwezi Julai 2023 mpaka leo hii Dec 15 bado hayajatoka majina ya walioitwa kazini. Najaribu...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mwonekano wako unaweza kuwa na athari chanya au hasi wakati wa Usaili wa kazi

    Unapokwenda kwenye Usaili wa Kazi, Mwonekano wako wa mwanzoni tu, unaweza kuwa na athari kubwa wakati wa mahojiano. Na hiyo ni kwasababu tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Waajiri hufanya maamuzi kuhusu ajira ndani ya sekunde 30 za kwanza wanapokutana na mwombaji kazi. Hata kama Usaili si...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini waliofanya usaili 26/11/2022 hadi 04/10/2023

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombajikazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 26-11-2022 na tarehe 04-10-2023 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katikatangazo hili. Orodha ya majina haya...
  20. harunimaiga

    JamiiForums Tanzania Usaili wa nafasi Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam unashangaza

    Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi ya wilaya na mwisho ni mkoa, ambapo kikawaida mitihani ya mchujo ufanyika katika ngazi ya wilaya na...
Back
Top Bottom