Orodha ya walioitwa kwenye Usaili wa mchujo TRA

Kweli nimeitwa ,, lakini najikuta naiwazia nauli yangu kuelekea dodoma ,,, eeh !! Mungu wangu nisaidie kufanya maamuzi ya busara kati ya kwenda au kuto kwenda..
 
Wapigie TRA au nenda Pale Makau Makuu Posta, eleza watakubadilishia venue.
 
Wish ingekuwa hivyo ,, lakini nipo Iringa si miongoni mwa mikoa ambayo usahili utafanyika ,,, hivyo kakuna msaada mkubwa naoweza pata hata nikiwapigia..

Acha niendelee na shughuli zangu tu
 
Nimejaribu kupoteza muda nikapita list ya wasailiwa POSITION after POSITION nimegundua kuwa katika kila position msailiwa #2 ameandikwa kwa Font ya peke yake.

Ninachotaka kusema ni kuwa wakiajiriwa tusilaumiane😊😊
 
Sijakuelewa hapa
 
Back
Top Bottom