usafiri

  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude amesema Viongozi hao walikamatwa ili watoe msaada kwanini wamefikia hatua ya kuwaambia wenzao...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini sekta ya usafiri imegoma kuingia katika mifumo ya kidijitali

    Habari wakuu. Leo natamani tujadili mapinduzi ya mifumo ya malipo kwenye sekta yetu ya usafiri wa umma, hasa hapa mjini ambapo kero ya chenji imekuwa ya kudumu. Kila siku tunashuhudia mabishano yasiyo na tija kati ya abiria na makondakta, jambo ambalo linaweza kuisha kabisa tukiamua...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgomo wa sekta ya usafiri Kenya watikisa nchi

    Completely barabara zote ziko deserted, hakuna gari kabisa. Gen Z naona wako kazini kumshughulikia yeyote mwenye gari atakayesaliti UMMA. Kwetu je? Midabwada Angalia K24 tv
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Usafiri kwa Wananchi tunaoishi MOSHONO - ARUSHA

    Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani. Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa daladala zinazoenda Moshono kuzuia Bajaji zilizokuwa zinafika hadi Moshono zisiende tena Moshono na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Arusha Mjini – Loliondo umepanda kutoka Sh 18,000 hadi 28,000, LATRA hii ni sawa?

    Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA. Kampuni ya Loliondo Coach ndiyo kampuni pekee inayotuhudumiwa. Nauli ilikuwa ni TSH 18,000...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Abiria waliotumia usafiri wa anga waliongezeka na kufikia Milioni 6.81

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amebaisnisha mafanikio ya sekta ya usafiri wa anga kwa kipindi cha kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026, ikionyesha ukuaji mkubwa wa idadi ya abiria na usafirishaji wa mizigo nchini. Akizungumza bungeni leo Mei 13, 2026, Prof. Mbarawa amebainisha kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Usafiri wa Bajaji: Bei Zabadilika, Ruti Hazijulikani

    Madereva wa bajaji wamekuwa chanzo cha malalamiko kwa abiria kutokana na ukosefu wa utaratibu unaoeleweka katika utoaji wa huduma. Mara nyingi, abiria hulazimika kubishana na madereva kuhusu nauli kwa sababu hakuna bei maalumu zilizowekwa wazi. Hali hii husababisha usumbufu, kupoteza muda, na...
  10. JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa na kazini kwenu hakuna lunch wala hela ya usafiri, wewe na boss wako tafuteni kazi nyingine!

    Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk. Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle. Si wengine ata kaunda suti...
  11. JamiiForums Tanzania TRC: Abiria waliopanda SGR kati ya Juni 2024 – Machi 2026 ni 5,512,995

    Abiria waliopanda SGR (Juni 2024 -Machi 2026) ni 5,512,995.
  12. JamiiForums Tanzania TASAC yaanza tathmini ya athari za bei ya mafuta kwa nauli za usafiri wa majini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
  13. JamiiForums Tanzania Daladala Mwanza, Dar es salaam zaomba kusitisha huduma ya usafiri kuanzia kesho tarehe 09

    Saa chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) kutangaza kuongeza muda wa wiki mbili zaidi wa kupokea maoni kuhusu mapitio ya nauli, Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam na Mwanza umeomba kusitisha kutoa huduma. Kwa mujibu wa wasafirishaji hao, sababu kuomba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Teknolojia itakavyosaidia kuepusha kupandisha nauli kwenye usafiri wa umma pale mafuta yanapopanda

    TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA. Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani. Nawaza kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

    Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂 Na lazima u maintain convos muda wote.
  16. JamiiForums Tanzania Usafiri KIA mpaka Moshi/Arusha

    Habari wana forum; Naomba kufahamu kama kuna shuttle/ usafiri wa kushare kutoka KIA kwenda Moshi/Arusha pindi unapotua kiwanja hiki. (Sio airport Taxi) na pia ni bei gani Kuna haja ya kwenda mpaka kule kituoni nje ya kiwanja au humohumo ndani yapo
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe aelekeza maafisa wanaosimamia Mradi wa Lishe kupatiwa usafiri

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza Maafisa Lishe na Maendeleo ya Jamii wanaosimamia utekelezaji wa Mradi Jumuishi wa Lishe katika Mkoa wa Geita, Tabora na Iringa kupatiwa vyombo vya usafiri ili waweze kwenda kutoa huduma kwenye maeneo yanayokabiliwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

    Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu. Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

    Habari za majukumu wakuu Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…