usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Suala la usafi kwa baadhi ya wahindi ni kero, ni utamaduni au ?

    duh !!
  2. JamiiForums Tanzania Ndio ustaarabu gani huu?

    Hello Guys ‼️ Ipo hivi, mmekaa na mtu mnashare moja mbili tatu ghafla pua imemwasha anaanza kujisafisha pua Kwa mkono anamalizia alafu baada ya muda kidogo kwenye story limeingia jambo la kuchekesha na yeye anataka kugonga kutoa mkono ili Hali ametoka kusafisha pua yake. Vitu vingine ni vya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

    Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili. Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
  4. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kushirikiana na Water.Org kuborosha miradi ya maji na usafi

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Benki ya CRDB...
  5. JamiiForums Tanzania Mayor wa jiji kakosa ubunifu na usafi

    1.Barabara hazifanyiwi usafi.Wanawatumia wafagiaji wa mafagio ya mkono badala ya mashine. 2.Ile barabara ya ufukwe ilitakiwa ipandwe mfano palm trees 3.Ufukwe wa posta ya zamani ile ni pesa.Wangebuni mfano kile kituo cha mwendokasi kiwe pale kwenye garden na ile garden itazamane na bahari...
  6. JamiiForums Tanzania Tunafanya usafi majumbani, ofisini na sehemu zilizofubaa

    Madirisha ya nyumba yako yamechakaa, sakafu imechakaa, masofa na viti vimechafuka havitamaniki. Unataka kuhamia nyumba mpya lakini stress ni kua nyumba ni chafu sana hujui uanzie wapi. Karibu 0699728254 Tunafuata mteja hadi mikoani.
  7. JamiiForums Tanzania Vipi huko kwenye nyumba za kupanga hivi ratiba za usafi zinafuatwa?

    Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
  8. JamiiForums Tanzania Ajira za wakusanya ushuru na wafanya usafi soko la feri

    Ajira za muda za watoza ushuru na wafanya usafi soko la feri, vijana muombe mshahara 300,000 kwa mwezi si haba
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Usimamizi wa taka na usafi wa mazingira: Changamoto na suluhisho la kudumu

    Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na kuboresha Dunia kupitia mazingira yao. Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani huchukulia umuhimu...
  10. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Dk.Philip Mpango aagiza NEMC kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira

    MAKAMU wa Rais, Dk.Philip Mpango amezindua chapisho la utafiti wa hali ya mazingira ya Pwani na Bahari Tanzania Bara huku akiagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira ili...
  12. JamiiForums Tanzania Kama usafi wa vyoo umetushinda, kwanini tusivigeuze vivutio vya kitalii?

    Tembelea vyoo vya uma vya hapa Tanzania ujionee maajabu! Vingi ni vichafu hakuna mfano. ~ vyoo vya vituo vya mabasi ~ vyoo vya sokoni ~ mpaka na vyoo vya baadhi ya mahospitali navyo vipo kwenye huo mkumbo. Labda Watanzania wana utamaduni wa kuvipenda vyoo vichafu? Mbona sivyo ilivyo kwa baadhi...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafi na super cleaning service

    🧹 Karibu kwa Huduma ya Kusafisha ya Super Cleaning Service! 🧽 🏠 Tunatoa huduma ya kufanya usafi kwa majumba, ofisi, shule, na hata kumbi za starehe! Pia, tunajihusisha na kufua nguo majumbani, kunyoosha, na kufanya usafi wa jumla wa nyumba. 📍 Tupo Mbezi Beach Shule, hapa ndio makao yetu makuu...
  14. JamiiForums Tanzania Nizingatie nini napotaka kufungua Kampuni ya Usafi?

    Habarini ndugu zangu naitwa Laurian, Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi. Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi? Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa na mtaji wa shingapi na wafanyakazi wangapi? Pia malipo yake yakoje kama iwapo ntafanikiwa wale...
  15. JamiiForums Tanzania Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango...
  16. JamiiForums Tanzania Mafanikio huwa yanaanza na watu kuanza kujali usafi na utunzaji wa mazingira

    Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na kuvutia hili ndilo lilikuwa kusudio la Mungu binadam waishi katika mazingira yanayopendeza na...
  17. JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto mashuleni vinavyotokana na kufanya usafi kwenye ghala za kuhifadhia mahindi

    Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
  18. JamiiForums Tanzania Ufanyapo usafi nyumbani, usipookota hata Tsh. 100 ujuwe ufukara unapiga hodi!

    Watakiwa kuokota shs 100, 200 hata 500. Sasa waburuza fagio kwa mbwembwe na siajabu kudeki kabisa halafu huokoti chochote basi ujuwe kazi unayo! Mnasemaje wadau
  19. JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Usafi wa Zamani!

    Habari zenu Wanajukwaa! Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu) Baada...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…