usa

  1. President of China

    JamiiForums Tanzania Poverty in USA

    Guys kumbe nchi iliyoendelea nayo ipo na maskini. Nashindwa kuelewa.
  2. Tanzania Tech

    JamiiForums Tanzania YouTube Tax kwa Creator (Wenye Channel) Nje ya USA

    Naona kama bado hakuna mtu anafahamu kuhusu ili so nimeona nianzishe uzi kuhusu ili ili kusudi watu wote wafahamu kuhusu mabadiliko mapya yanayokuja kwenye mtandao wa YouTube. Kama wewe ni mmoja wa watu wenye channel na upo nje ya marekani basi hii ina kuhusu kwa asilimia 100. Kuanzia mwezi wa...
  3. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapinga chanjo ya Covid-19 ya Johnson & Johnson

    OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani. Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19 inayozalishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa sababu imekiuka misingi ya maadili ya kanisa kuanzi...
  4. 100 others

    JamiiForums Tanzania Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

    Meli mbovu ile ilizama au unakuta iliharibika unakuta ipo beach au chini kabisa ya maji huwa zinajulikana kama shipwreck. Kuna jambo nililiona hapo tarehe 15 hii january ambalo si la kawaida, katika kipindi hiki ambapo Iran na USA wamekuwa na mvutano mkali hasa baada ya kuuawa kwa...
  5. Gama

    JamiiForums Tanzania Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

    Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de activated. Najiuliza; Hivi nchi nyingine hawawezi kuiba hiyo tech kwa kutumia diactivated device, vipi...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kumbe Watanzania tuna uvumilivu mkubwa sana wa kisiasa; USA siyo, kosa la "upotofu wa kauli" linaondoa heshima ya Rais Trump

    å Mimi mara nyingi humfananisha Rais Donald Trump wa Marekani na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kitabia na kwa staili yao ya uongozi. å Kwa yanayotokea Marekani chanzo kikiwa ni tabia na mwenendo mbovu wa Rais Trump, laiti ingekuwa yanafanywa na kiongozi wa mojawapo wa nchi za dunia ya...
  7. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop toka USA zinauzwa

    Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza piga 0713039875 kuwahi ofa hii
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya 02/01/2020 Tanzania imerusha “setilaiti” ya kwanza na USA yaomba msaada Tanzania

  9. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

    Habarini wanaJF, Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujuzwa nawezaje kupata Scholarship ya kusoma Msc. in Civil Engineering Canada na USA

    Habari za leo wadau Great Thinkers, Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

    Namnukuu On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect @JoeBiden and Vice President-elect @KamalaHarris on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
  12. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa USA: Georgia kurudia kuhesabu kura

    Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo. Source: BBc Swahili
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea USA ni dhahiri kuwa Tanzania tumekomaa kidemokrasia

    Donald Trump ameamua kujitangaza mshindi wa uchaguzi wa Marekani wakati kura bado zinahesabiwa na ametangaza anenda mahakamani kupinga matokeo. Kwa taifa ambalo wapinzani kama ACT Wazalendo na CHADEMA huwa wanalitegemea kuwa kioo cha Demokrasia sasa linatia aibu maana kama mtu anakataa matokeo...
  15. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania USA Election Day

    George W. Bush, Barack Obama, and Donald Trump are dead and stand in front of god. Politics God asks Bush: “So? What do you believe in?” Bush answers: “I believe in a free market, a strong America and a United nation.” God says: “Very good. Why don’t you take a seat to my right.” And Bush...
  16. jijiletublog

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maandamano ya tarehe 2 Nov: Je, Ni Demokrasia au waliokosa wanapigania Maslahi Binafsi?

    Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, vyama vya upinzani havijawahi kukubaliana na matokeo katika kila sehemu...
  17. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania China yaitaka USA kutowabughudhi wanafunzi wake walio USA

    Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China Wizara hiyo imesema kuwa. "Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama" Source CRI kiswahili
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi == CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian...
  19. fungi06

    JamiiForums Tanzania Ugomvi bayana Alon Musk na warusha Rocket wengine USA

    Huyu jamaa ukiingia Twitter utaelewa sio mtu wa kawaida. Kuna kampuni mpya iko Marekani waafanya kazi wao kila kukicha wanaona afadhali ya jana Sasa kumbe kuna vitu wanaviita debris (majabali) ambayo yamekua yaki aribu mno rocket angani. Nazani mmeyaona kwenye kwenye muvi za Skyfi sasa basi...
  20. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
Back
Top Bottom