usa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mihimili Imara ya USA, Trump angelikuwa dictator kuliko waliowahi kutokea

    Happa ndipo tunaona umuhimu wa kuwa na strong independent Judiciary, Bunge and other governing institions to be independent of the executive. Kwa mwendo wa trump, huyu ni dictator wa kutupwa kms wa hapa kwetu Most Americans Describe Donald Trump as 'Dangerous Dictator'—New Poll Published May...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Journey Yangu Kimasomo – Kutoka Mtaa Mpaka Masters ya Wildlife Management & Tourism USA, na bado sijajulikana!

    familia ya JamiiForums, Wacha niwaweke sawa kidogo kuhusu safari yangu ya elimu – from the mud to the Masters, bila shortcut, bila kiki, bila kubebwa. I’ve been grinding in silence, and trust me this brain got WiFi – kila mtu niliwahi kufundisha anaeza testify, nikiingia darasani mtu anaglow up...
  3. A

    JamiiForums Tanzania USA Wanataka Egypt Iwasaidie Kupigana na Al Houthi wa Yemen's

    Tuliwambia Al Houth au Yemen hakuna nchi inayo weza.kuwashinda vita. US alikwenda kichwa kichwa alidhani Yemen atatishika. Juzi Vice Presdent wa US kawapo offer tena offer ili wawache kushambulia Red Sea Al Houthi wakagoma. Trump analia eti Egypt wamsaidie kipesa walipe gharama au wasaidie...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

    Mimi sio mbaguzi wa jinsia Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70% ya wamarekani( USA) ni masikini. Takwimu hizi ni za ukweli?

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya 👇👇👇
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania Dokezo: Art of War vs Art of the Deal (China vs USA) Strategy in Modern Arena - Kiswahili Version

    Katika dunia ya ushindani – iwe ni kwenye siasa, biashara, au hata maisha ya kila siku – vitabu viwili maarufu vinatajwa mara kwa mara kama nguzo za mafanikio: 1. The Art of War – na Sun Tzu (China, ~500 BC) 2. The Art of the Deal – na Donald Trump (Marekani, 1987) The Art of War – Sanaa ya...
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea reciprocal tarrifs alizopigwa China lakini hawaongelei 0% tarrifs kwa Russia na North Korea ambazo husemekana ni adui mkubwa wa USA

    Trump kachemka hapa, alijua kabisa moto wa China sio wa kitoto ila bado anaendelea kuupima. Alijua kwamba endapo angewapiga pia Russia na North korea hizo tarrifs kisha Wote kwa pamoja wakajibu basi USA ingepumulia mashine. Ili kutimiza tabia yake chafu akaona aanze na china kwanza huku urusi...
  9. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji wa Tanzania USA rudini bongo mbona kuna maendeleo mengi yanafanywa na Rais Samia

    Salaaam... Nikiri wazi namsikilozaga EBM sana kuna mambo anaongea "how to survive hizi nchi" kama upo legally sio wewe mzamiaji ni lazima utamtukana Sasa majuzi nikamsikia Watanzania ambao "WAMEZAMIA" hawana means ya kupata vibali wanamtukana kisa yeye ni timu TRUMP Yaani uombe B1/B2 uzamie...
  10. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania China yazindua Global Digital Payment System na kuikacha Swift ya USA

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya washindani wake kiuchumi na Kijeshi BIG BREAKING! 🚨💵🪦 CHINA LAUNCHES GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Babu Sikare(Albino Fulani)Mtanzania wa kwanza kumkunja shati afisa balozi wa USA aliyetaka kumnyima Viza

    Nimemkumbuka rafiki yangu wa utotoni Babu Sikare RIP Babu Sikare alizaliwa familia ya kishua,baba yake alikuwa mkurugenzi TANESCO,alijulikana mitaa yote ya Msasani,Oysterbay na Masaki. Vabu Sikare alizaliwa albino na wala hakuogopa kujitambulisha kuwa ni albino,tofauti na yule msemaji wa klabu...
  12. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nchi za kiafrika zilikuwa zinashirikiana na china kwenye kukwepa kodi kwa bidhaa zinazoingia USA

    Wakuu mimi sio mchumi ila nimeumia akili za kawaida Wakati wa utawala wa Clinton kulianzishwa ushirikiano kitu kinaitwa Goa yaani ushirikiano wa USA na nchi zinazoinukia kiuchumi za africa na asia Hii ilisababisha viwanda vingi kuanzishwa hasa vya nguo vikawa vinatengeneza nguo na kuingiza...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania 100 billion USD, Vietnam- USA trade deficit!

    Haya nchi ya Vietnam ambayo ilikuwa comminist kama sisi, masikini kama sisi leo hii ina trade deficit ya 100 billion dollars na USA, yaani vietnam ina export goods kwenda US zaidi ya USA inavyouza Vietnam, na tofauti ya hiyo import vs export ni 100 billion dollars US. Tofauti ya Tanzani na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Trump ameivuruga dunia nzima na import tarrifs alizoziweka kwa bidhaa zinazoingia USA. Je dunia ikimsusia anaweza ku survive peke yake?

    Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake? 1. Industrial products zake ataziuza wapi? 2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi? 3. etc etc Wataalamu wa uchumi tuelewesheni
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Somalia yaiwekea Marekani udhibiti wa kipekee wa Vituo vya Anga na Bandari

    My Take Ikumbukwe huyu Rais wa Somalia ni wale Vibaraka wamesoma USA kama ilivyo Kwa Felix Tchisekedi wa DRC. ============== Somalia iko tayari kutoa udhibiti wa kipekee wa Marekani kwenye vituo vya anga na bandari za kimkakati, rais wake alisema katika barua kwa Rais Donald Trump, iliyoonwa na...
  16. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Kama wewe Huli Nguruwe, USA Usiende

    watu hawataki kabisa kurudi makwao wakafuturu ila wanataka wakae USA tu waenjoy kisha Waandamane Sasa MWA-TRUMP kasema NO, utarudi kwenu, Wanalia hao Bye Bye, Uturuki inakuhitaji zaidi ila analilia USA, Kaandamanie Uturuki, ISRAELI IMEBARIKIWA, huwezi KUPAMBANA NA CCM ukashinda
  17. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Matatizo/Mambo 7 Ya Kukagua kwenye Simu Used Kutoka Dubai , Uk , USA Kabla ya Kununua Kwenye Maduka ya Kariakoo.

    #Mwanakidigitali utajisikiaje umetoa pesa yako kununua simu kisha ukauziwa simu yenye matatizo kibao. Moja kati ya hofu ya Wateja wengi kutoka Tanzania wanapotaka kununua simu / Laptop used kutoka Dubai ni kuuziwa bidhaa zenye shida kedekede na pia bidhaa feki. Nimekuwa kwenye soko la...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Waafrika wengi hatuja evolve katika kutafuta refreshment kirahisi kwa kusoma vitabu, walking therapy, MDT, etc bali ni mitungi na mikasi

    Au labda sio asili yetu? Au labda basi tunachukulia poa? Au basi tu utamaduni huu haujakuwa channeled katika jamii zetu? Simaanishi kuwa wazungu hawapigi mitungi na mikasi, ila wengi wao wame evolve kuburudisha nafsi na mwili kwa kufanya utalii, meditation, vitabu vya furaha, beach walking etc...
  19. City Of Lies

    JamiiForums Tanzania Waafrika elfu 70 waonyesha nia ya kuhamia kwa 'Trump' USA

    Hatua ya Marekani imejiri kufuatia tuhuma za ubaguzi dhidi wa Afrikaner uliohusishwa na utawala wa rais Ramaphosa kupitisha marekebisho kwenye sheria za umiliki wa ardhi na kuipa serikali mamlaka ya kutwaa ardhi kutoka watu binafsi waliodhaniwa kufanya unyakuzi. Rfi
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupitia Red Sea.

    Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali. Wako...
Back
Top Bottom