urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine ataka Urusi imlipe kwa uharibifu iliofanya nchini mwake

    Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu iliyopita. Meanwhile, Volodymyr Zelensky, Ukraine's president, has proposed a formal deal with the...
  2. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

    Maneno hayo ya secretary wa US- Antony blinken yanakuja baada ya Russia kushikilia moja kwa moja miji ya bandari na viwanda ya Odesa na mariupol. Russia ilizuia usafirishaji wa bidhaa za Chakula na mazao kwa kile kilichodaiwa kua Chakula na mazao hayo yamekua yakienda kwenye maghala ya nchi za...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

    Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi. Bandari ya Mariuopol Urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika Haina shughuli za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

    Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67. Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky anasema Urusi inatumia silaha zisizo na nguvu dhidi ya Nchi yake ni ishara ya kushindwa kwao. Amesema hayo baada Makamu Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Yury Borisov kudaia kuwa wana teknolojia yenye uwezo wa kuangusha ndege zisizo na rubani kwa umbali wa Kilometa...
  6. Jackal

    JamiiForums Tanzania Treni Iliyobeba Wanajeshi wa Urusi yalipuliwa kwa bomu la kutegwa na kuua Wanajeshi

    Putin's forces were once again scrambling as Ukrainians maintain a strong resistance in the occupied city in southern Ukraine. On Wednesday, May 18, what was described as a “powerful explosion” that “thundered the city” destroyed a train carrying Russian military personnel and ammunition. Local...
  7. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine, Ujasusi, Majeshi na Uchumi

    Huu ni Mtazamo wangu TU. Katika vita zote kuna harakati kubwa mno nje na ndani ya uwanja vita,ambazo wanaopigana Kila mmoja hufanya ili kurahisisha kutaka kushinda vita.Harakati hizo ni Ujasusi. Watu wengi wamekua wakitoa maneno mbalimbali ya dharau na mashaka juu ya uwezo wa Kijasusi wa...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wa Hispania, Ufaransa na Italia wafukuzwa Urusi

    Taifa hilo limesema linawafukuza Wanadiplomasia 34 kutoka Ufaransa, 27 wa Hispania na 24 kutokea Italia. Mataifa hayo matatu ni miongoni mwa Nchi za Ulaya ambazo zimefukuza Wanadiplomasia zaidi ya 300 tangu vita kuanza Ukraine Mataifa hayo yaliwashutumu Wanadiplomasia wa Urusi kwa kufanya...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Meli ya nne ya Urusi yaungua Black Sea jion hii

    Ukrainian officials report that a large Russian support ship Vsevolod Bobrov has caught on fire somewhere in the Black Sea. Vsevolod Bobrov is a large ship (almost 10,000 tons displacement), and very new, entering service only last year.
  10. Pearce

    JamiiForums Tanzania Ni muda Sasa umefika kwa JWTZ kuachanana ununuzi wa silaha kutoka Urusi

    Miaka 20 nyuma ni siraha ambazo zilitupa sifa na ubora katika mapambano kwa Teknolojia ilivyokuwa. Kwa siraha hizo pia katika diplomasia na ujasiri na udhabiti pamoja na uzalendo Tanzania ilikua tishio na iliogopwa na kuheshimiwa na maadui zake wakati huo. Hata Ghaddafi alipojaribu kuingia...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Cement bei juu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi

    "...gharama za cement zimeendelea kupanda kila mara na hilo la vita ya Ukraine na Urusi ndilo limeongeza changamoto ya kupanda kwa bei..." "...nimewataka wadau waone namna bora ya kupunguza gharama kupanda mara kwa mara kwa maslahi ya wananchi wetu." Amesema Mwigulu. Nb: Tanga cement na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wamekiri kuwa vikwazo walivyowekewa Urusi vinawaathiri wao zaidi kuliko Urusi

    Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume kabisa cha matarajio ya nchi za magharibi. Wakati huo huo pesa ya marekani imeshuka thamani kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni ushenzi: Balozi wa Urusi nchini Poland amwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu

    Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler. Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mashariki ya kati yasema hawataiokoa Ulaya pindi wakijizuia kununua gesi ya Urusi

    Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala kutoka nchi za mashariki ya kati na kokote kwengine duniani katika kipindi cha miaka ya karibuni ijayo...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

    Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022. Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania USA yakanusha kuhusika kuzamisha meli vita ya Urusi!!

    Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike Russia’s Black Sea flagship Moskva off the coast of Odessa last month, Pentagon press-secretary John...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Urusi ina Ubalozi wake hapa nchini; je, imewekeza nini Tanzania?

    Hello wakuu, Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule! Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi imeshambulia hospitali na vituo vya matibabu

    Imeelezwa kuwa uamuzi wa Urusi kuivamia Ukraine umeharibu hospitali nyingi na vituo vya matibabu hali iliyofanya madaktari kuwa na wakati mgumu katika kufanua huduma zao Hayo yamesemwa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy ambaye amesisitiza kuwa kuna vituo 400 vimeharibiwa na kuna changamoto...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hawanunui mafuta kutoka Urusi?

    Kwa maoni yangu haipo sababu ya mafuta kupanda Afrika, (1) Kwanza hawa ku support nchi za magharibi ndio maana wengi wao hawakuilaumu Urusi kwa uvamizi na wengine hawakupiga kura kuilaumu Urusi. (2) Katika vikwazo alivyowekewa mafuta hayamo hadi sasa nchi za EU ndio zinaongoza kununua mafuta...
Back
Top Bottom