urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi wameshatawala 20% ya eneo la Ukraine

    Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea. Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg kwa njia ya mtandao Juni 2, 2022. Hii ni mara yake ya kwanza kutoa kauli hiyo tangu kuanza kwa...
  2. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

    Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
  4. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Urusi yazikatia huduma za gesi Denmark na Germany

    Kampuni ya kusambaza gesi ya urusi ya Gazprom imezikatia huduma nchi za denmark na German baada ya kampuni yao ya SHELL ENERGY EUROPE LIMITED yenye dhamana ya kuwasambazia gesi nchi za Denmark na German kushindwa kufanya malipo kwa rubble Kama ilivyoelekezwa na rais Vladmir Putin. Hii inakuja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

    Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa EU wakubaliana kupiga marufuku mafuta kutoka Urusi

    Baada ya wiki kadhaa za majadiliano, Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kukata 90% ya Uagizaji wa Mafuta kutoka Urusi kufikia mwisho mwa Mwaka huu. Imeelezwa kuwa, uamuzi huo utakata chanzo muhimu cha ufadhili wa Vita inayoendelea Nchini Ukraine Umoja huo wenye takriban Nchi 27...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

    Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serbia yatangaza dili nono la kuuziwa gesi kutoka Urusi, yapotezea kuungana na EU kuweka vikwazo

    Wakati mataifa mengi ya Ulaya yakiongozwa na Umoja wa Ulaya (EU) wakiendelea kuweka vikwazo kwa Urusi, Serbia imetangaza kukubaliana na taifa hilo katika biashara ya gesi. Rais wa Serbia, Aleksandar Vucic amesema kuna makubaliano mazuri ya taifa lake kuuziwa nishati hiyo kutoka Urusi, hiyo ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Washington Post: Wapiganaji wa kigeni walioenda kuisaidia Ukraine warejea makwao kwa ugumu wa vita na mashambulizi makali ya Urusi

    Marekani yaripoti kupitia the Washington Post kuwa wale wapiganaji wa kigeni toka nchi za magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani na Canada wanakimbia kwa wingi toka uwanja wa vita (Ukraine) na kurejea makwao. Wapigamaji hao warejea na stori za mazingira magumu na maandalizi mabovu ya majeshi ya...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

    Tangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano 1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia imewapitia kushoto au ni ile historia waliyoisikia vijiweni tu kwa watu ambao hawajakanyaga hata darasa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelenskyy: Ukraine tunahitaji silaha zaidi kupambana na Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea eneo la mapambano Mji wa Kharkiv, Mei 28, 2022 na kuzungumza na...
  12. Gama

    JamiiForums Tanzania Wale mabingwa wa kufurusha mabomu wa Syria wametua kuisaidia Urusi dhidi ya Ukraine

    Mabingwa wa kurusha mabomu makubwa ya kudondosha kutoka Syria wametua nchini Urusi ili kuisaidia nchi hiyo katika vita yake dhidi ya Ukraine, watu hawa hudondosha mabomu ya petrol ana chlorune kutoka kwenye ndege. Aina hii ya mabomu hufanya uharibifu mkubwa hasa yanapodondoshwa kaatika makazi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

    Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe DANIEL 1: 31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha. 32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

    Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene. ___________________ KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46 According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanajeshi wa Urusi waanza kugomea vita vya Putin

    Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani. _________________ More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
  16. Final Boss

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Kiitaliano, Angelo d'Orsi adai Mgogoro wa Ukraine ni Vita kati ya NATO dhidi ya Urusi

    "Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine. Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia alikosoa vikwazo vya Magharibi dhidi ya Urusi, ambavyo vinaikumba Ulaya yenyewe. Pia alihoji "the fact"...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Germany: Urusi hawatashinda vita Ukraine

    Germany’s Scholz says Russia will not win the war in Ukraine German Chancellor Olaf Scholz says Putin has failed in all his strategic aims and will not dictate terms of peace. Russian President Vladimir Putin will not win the war in Ukraine, Germany’s Chancellor Olaf Scholz has said, while...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Acheni kucheza na Urusi, vikwazo zaidi viwekwe

    Rais Volodymyr Zelensky ameyataka Mataifa ya Magharibi kuacha michezo na kuiwekea Urusi vikwazo vikali ili kumaliza vita, akisisitiza Ukraine itabaki kuwa Nchi Huru Siku za hivi karibuni, Zelensky amekuwa akikosoa vikali Nchi za Magharibi huku Vikosi vya Urusi vikijaribu kudhibiti Miji miwili...
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Urusi yazalisha bidhaa zinazofanana na za Coca cola baada ya kampuni hiyo kusitisha uzalishaji nchini humo

    Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine. Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na uzalishaji wa vinywaji hivyo ambavyo sasa haiitwi Coca Cola tena bali Cool Cola. Na Vinywaji hivyo...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Henry Kissinger: Ukraine iiachie Urusi majimbo ili ipate amani

    Mwanadiplomasia mbobezi wa Marekani ambaye ndiye msanifu wa vita baridi wakati wa uwaziri wake,bw Henry Kissinger amesema Ukraine kwa hapa ilipofikia haina budi kuiachia Urusi baadhi ya majimbo yake ili vita viishe haraka. Hayo ameyasema kwenye mkutano wa kibiashara wa DAVOS. Ameongeza kusema...
Back
Top Bottom