urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

    Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

    Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi. Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  4. Frustration

    JamiiForums Tanzania Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

    Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia. Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya EU vyakwamisha ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi nchini Serbia

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao. Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi...
  7. Gama

    JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  8. Championship

    JamiiForums Tanzania Naiona timu ya Taifa ya Ukraine inacheza mechi hapa, imekuwaje? Urusi si walisema wameigeuza Ukraine magofu?

    Naona wanacheza na Wales mechi kali kabisa. Taarifa kwamba ndani ya siku tatu wanaiteka zimefikia wapi? Na zile kwamba nchi imekuwa magofu nazo niaje?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yashikilia ⅓ ya hifadhi ya yuan Duniani

    Kwa mujibu wa shilika LA fedha Duniani(IMF) nchi ya urusi imehodhi zaidi ya ⅓ ya hifadhi ya sarafu ya China(yuan) duniani
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Jeneral wa Urusi nusra auawe na wanajeshi wake alipotoa amri ya ovyo

    Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
  11. Sexer

    JamiiForums Tanzania Most admired brands in Africa, hakuna brand ya Urusi hata moja

    Urusi ndani ya JF International Forums ni nchi inayokuzwa sana kiasi cha kulinganishwa na nchi namba 1 duniani US, lakini kiuhalisia Urusi hata kwa Wahindi, Wakorea, Wajapan, Wajerumani, nk hatii mguu. Katika brands 100 Bora zinazokubalika Afrika hakuna brand hata moja ya urusi wakati huohuo US...
  12. Championship

    JamiiForums Tanzania Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

    Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati. Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium. Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Sall: Urusi imeonesha nia ya kuruhusu usafirishaji nafaka Afrika

    Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall amesema Rais Vladimir Putin ameonesha utayari wa kuruhusu mauzo ya nje ya nafaka za Ukraine ili kupunguza makali ya janga la chakula ambalo linaathiri zaidi Afrika Katika mazungumzo yao, Putin amekanusha kuwa Moscow inazuia...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

    Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote
  15. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ugumu kwa NATO kuingiza majeshi moja kwa moja katika mgogoro baina ya Urusi na Ukraine

    Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria. Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika. Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini. Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu. Russia...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi wameshatawala 20% ya eneo la Ukraine

    Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea. Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg kwa njia ya mtandao Juni 2, 2022. Hii ni mara yake ya kwanza kutoa kauli hiyo tangu kuanza kwa...
  17. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za nyuklia

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia makombora ya nyuklia ni saa chache baada USA kukubali kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

    Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
  19. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Urusi yazikatia huduma za gesi Denmark na Germany

    Kampuni ya kusambaza gesi ya urusi ya Gazprom imezikatia huduma nchi za denmark na German baada ya kampuni yao ya SHELL ENERGY EUROPE LIMITED yenye dhamana ya kuwasambazia gesi nchi za Denmark na German kushindwa kufanya malipo kwa rubble Kama ilivyoelekezwa na rais Vladmir Putin. Hii inakuja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

    Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani...
Back
Top Bottom