urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Uingereza na Ujerumani waifukuzia mbali ndege ya Urusi iliyojaribu kupaa Estonia, kataifa ndani ya NATO

    Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza zikaibuka na kuifukuzia mbali.... ======================== UK and German military aircraft have...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema hawatoweza kuipata droni yao kwani Urusi imewahi eneo la tukio

    Mwandishi wa ABC News amewanakili maafisa wawili wa Pentagon wakisema kuiokoa droni yao iliyomwagiwa mafuta na hatimae kuanguka huko bahari nyeusi itakuwa shida kwani Urusi tayari imeshafika na meli zao kuitafuta droni hiyo. Mwanzoni mnadhimu mkuu wa majeshi ya Marekani generali Mark Milley...
  3. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

    Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!. Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

    Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system. Russian forces have delivered a massive missile strike on...
  5. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Kanzhal ya Urusi yaendelea kurindima anga la Kyiv Ukraine

    Mimi sina mengi, hii ni taarifa kutoka kwa Pro Ukraine" kutoka huko twitter! Pia haya makombora yana uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia, makombora haya yanaogopwa sana NATO/USA! NB: Taifa likikosea kuchagua rais mwenye akili jua anguko lake haliko mbali.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tapeli aliyeiibia Urusi afariki akiwa na umri wa miaka 56

    Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za Urusi mabilioni ya dola. Grishin alilazwa hospitalini kufuatia tatizo la ubongo mwezi uliopita, na...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi

    Bosi wa Wagner Prigozin sasa ametangaza rasmi kuikalia Bakhmut. Hata mkuu wa NATO naye japo hajasema kwa wazi naye amekubali kazi ya Bakhmut imeisha kwani yeye ametabiri kuanguka kwa Bakhmut baada ya siku tatu. Sijui kama alichosema raisi Zelensky kama ni kweli dhidi ya uvumi kwamba ana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

    Kwa kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake. Katikati ya uhasama usiothamini tena maisha ya watu wengine, Urusi iliingizana G20 mkutanoni na kichekesho cha mwaka: Kumbe Urusi inapambana kuisimamisha vita iliyoanzishwa na Ukraine dhidi yake. 🤣🤣 Kwamba huo haswa ndiyo uelewa wa akina...
  9. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Urusi atembelea mstari wa mbele wa vita

    Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Sergei Shoigu, amefanya hii leo ukaguzi wa vikosi kwenye uwanja wa mapambano mashariki mwa Ukraine, wakati mapigano yakiendelea viungani mwa mji wa mashariki wa Bakhmut. Wizara ya ulinzi imesema leo kuwa Shoigu alikagua kituo cha uratibu katika mkoa wa kusini wa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania China yaonywa katu isithubutu kuipa Urusi msaada wa silaha, itakiona

    Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali limetolewa...thubutuu!!!.... muacheni Mrusi ajifie maana kalianzisha mwenyewe... Kubwa la magaidi Iran lilishapigwa...
  11. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 10000 wa Urusi wameshajisalimisha kwa Ukraine toka September katika kampeni iitwayo nahitaji kuishi

    Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye...
  12. F16 Falcon

    JamiiForums Tanzania Urusi yakaribia kuuteka mji wa Bakhmut katika mapambano makali na Ukraine

    Vikosi vya Urusi siku ya Jumanne vimeendelea na safari yao ya wiki moja ya kuuzingira na kuuteka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine ambapo kamanda wa vikosi vya ardhi vya Ukraine alielezea hali kuwa "ya wasiwasi mkubwa". Wanajeshi wa Urusi, wakiwemo wapiganaji kutoka Kundi la Wagner...
  13. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

    Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Hali tete, Urusi kuanza kulazimisha wanafunzi wakapigane Ukraine

    Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume. ===================== "Russia is preparing to draft...
  15. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Urusi yaongeza mapigo mazito huko Ukraine

    Mapigano katika mji wa Mashariki mwa Ukraine wa Bakhmut ambayo ni ngome muhimu, yanaongezeka na Rais Volodymyr Zelensky anasema hali huko inazidi kuwa mbaya. Rais huyo anasema wanajeshi wa Urusi wanaharibu chochote ambacho Waukraine wanaweza kutumia kama ngao. Anasema wameendelea bila huruma...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Drone za Ukraine zaanza kujongea Moscow, anga ya Urusi wazi bila ulinzi

    Hii imewashangaza sana Urusi kwa drone kukaribia Moscow bila kugunduliwa...... Drones that the Kremlin said were launched by Ukraine flew deep inside Russian territory, including one that got within 100 kilometers (60 miles) of Moscow, signaling breaches in Russian defenses as President...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

    Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini...... Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je, Meli ya Mizigo ya Urusi imetua Tanga? Je, haitaleta mtikisiko wa kidiplomasia?

    Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa. Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro wa Ukraine ni tamko la serikali katika kulaani, kudai maelezo au kukemea Urusi. Haya sasa...
  19. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

    Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara. Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Museveni na Zelensky wa Ukraine wafanya mazungumzo, Urusi kuendelea kutengwa

    Sijajua kwanini Urusi ilikua inamshobokea sana Museveni hadi kutuma viongozi kwake, hata hivyo hali imebadilika, Museveni na Zelensky waingia kwenye makubaliano. ======== President Yoweri Museveni and his Ukraine counterpart, Volodymyr Oleksandrovych Zelensky, on Wednesday evening spoke to...
Back
Top Bottom