urithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli, kimaandiko hakuna mzaliwa yeyote wa kwanza aliyepewa urithi wa Baraka na Mali

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta mada yenye ushahidi kimaandiko. Hakuna mtoto yeyote aliyekuwa mzaliwa wa kwanza kwa Babaye aliyepata urithi wa Baraka na Mali Ndiyo Nabii Ibrahimu, Isaka, Yakobo, Yuda, Daudi, Suleiman, Mussa, Efrahim Abel, n.k wote hao hawakuwa wazaliwa wa kwanza ila...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ukipewa urithi wako unaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

    Habari Wadau, Ni nadra sana kwa mtu kuwa bilionea, hasa akiwa na umri mdogo. Hii ni orodha ya mabilionea vijana ambao wametajwa na Jarida la Forbes kwa mwaka 2024, kuwa matajiri wadogo zaidi duniani. Ikiwa elezwa kuwa chanzo cha utajiri wao ni urithi kutoka kwa wazazi na familia zao. Kwa mara...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake? Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania na lugha ya kiswahili lakini sijawahi kusikia mikakati ya wizara kuenzi na kutambua mchango wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  5. JamiiForums Tanzania Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Video: Mjadala wa Muungano unaendelea. Leo ni zamu ya Askofu Zachary Kakobe wa makanisa ya FGBF kutia neno. Tanganyika lazima irudi, ni urithi wetu

    Tutazuia hadi lini? Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza.. Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Safari hii amemwibua na kumleta kwetu Askofu Zachary Kakobe wa makanisa ya Full Gospel Bible...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba sikuwahi kupata changamoto za kiuchumi. Rasmi na mimi nikawa baba, nikaanza kuwaza watoto waje kusoma...
  8. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Kurithi inakuja na responsibilities. Adai ni 5% tu ya wajukuu wanafanikiwa kupitia urithi, waliobaki wanapoteza

    Mfanyabiashara, Mohammed Dewji wiki hii alianza kampeni yake ya 'Mo Cares' akiielezea kama Moo anajali watanzania ikiwemo kuwapa zawadi washindi wataojibu maswali yake. Dewji anasema alitekwa miaka mitano iliyopita na wasiojulikana na anawashuru watanzania wote waliomuombea. Miongoni mwa...
  9. JamiiForums Tanzania Urithi wa Bendi ya Osibisa katika muziki wa Afrika

    Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya kupitapita mitaa kuuliza kuhusu bendi za muziki ambazo zimepata kuwa maarufu kwa kuzunguzma ukuu wa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kukosa desturi ya kuandika Urithi na Wosia na kutowajulisha/husisha watoto kwenye biashara/mali unazomiliki kumesababisha matatizo mengi

    Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa. Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi wazembe wanatoa Elimu kama Urithi, Sheria ya Mirathi inakataa Elimu sio Urithi, Biblia inataka baba kuacha Urithi

    tunaanza na mistari ya biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana” NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA. Elimu ya Mzungu...
  12. JamiiForums Tanzania Urithi wa Kundi la Eiffel 65 katika Muziki wa Elektroniki

    Miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000 tulipata kusikia nyimbo tamu sana kutoka Ughaibuni, nyimbo kama "Hold On" ya mwamba Wilson Phillips, au "It Must Have Been Love" kutoka kwa bendi ya Roxette au Vogue ya Madonna. Lakini kuna nyimbo mbili ambazo utotoni tulipenda sana kusikiliza kiasi...
  13. JamiiForums Tanzania Mbwa na paka warithishwa Tsh billion 7, ni baada ya watoto wake kutomtembelea

    Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu. Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma...
  14. JamiiForums Tanzania Urithi wa Bendi ya Soul Brothers katika Muziki wa Afrika

    Afrika imepata baraka kubwa ya kuwa na wanamuziki wengi, wapo watakaosema kuwa bendi bora ni Ladysmith Black Mambazo, au Mahotella Queens ya dada watatu Hilda Tloubatla, Nobesuthu Mbadu, pamoja na Amanda Nkosi. Au bendi ya Msondo Ngoma kutoka nyumbani Tanzania ya kina Marehemu TX Moshi. Msondo...
  15. JamiiForums Tanzania Mkiacha urithi mkumbuke na ndugu zenu maana wanavyopambana kama wametafuta wao

    Zoezi la nduuugu wa marehemu kugombania mali limekua likiongezeka kila iitwapo leo Ingawa asilimia chache hufanikiwa ila wengi huteseka sana amahakaman Ushauri ukiona umeanza kuchoka wakumbuken na wadogo zenh maana mkifa wanakuja nammishale kama wametafuta wao na kufanya watoto kuteeeseka Na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

    Salaam, Shalom!! Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni. Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika. Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  20. JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…