Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana.
Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse
Mashahidi hao watatu ni:
===============================================
"DEATH ROW DIARIES”
Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Kagera, Mhandisi Ntuli amesema kwamba ukamilishaji wa ujenzi wa Barabara njia Nne Bukoba kutoka Rwamishenye hadi Makutano ya barabara ya stendi ya mabasi Mkoani Kagera unatarajiwa kukamilika Mwezi November 15/2025.
Akizungumza kuhusu maendeleo ya...
Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya magaidi hao na Kafri yanavyoangamizwa ndivyo Hamas wana kosa udhibiti wa Gaza.
Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme
Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53
Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38
Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
Ina urefu wa Kilomita 12
Ina kituo kimoja cha polisi
Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano
Ina bank moja tu
Ina hotel moja tu
Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote
Airport yake hutumika kwa football pia
Karibu Tuvalu
Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.
Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024.
Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26.
Pakua Samia App kupitia...
awamu
awamu ya sita
barabara
barabara za lami
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
kutoka
lami
mikoa
mtandao
mtandao wa barabara
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
urefu
wilaya
Tunaandika kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu hali mbaya ya barabara kuu inayounganisha roundabout ya YMCA mjini Moshi na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC.
Barabara hii yenye urefu wa kilomita 2.6, ambayo ilijengwa mwaka 1971, imekuwa kizuizi kikubwa kwa huduma za afya na...
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake!
Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake!
Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake!
https://twitter.com/home
Nb: Watu wanakimbia kuokoa roho zao na siyo fedha! Mpe Mungu maua yake!
Ikiwa vidole vyote vitakuwa na urefu sawa, hutaweza kushikilia kitu chochote. Jinsi vidole vina urefu tofauti hupelekea kuwa ngumi wakati vidole vyote vimekunjwa. Hii ndiyo sababu kuu kwa nini vidole vyote vitano vina urefu tofauti. Ndiyo maana, “Vidole vyote havifanani
Mheshimiwa Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu yako mazito ya kitaifa, kwani hakika mambo ni mengi na muda ni mchache.
Katika ngazi yoyote ya uongozi, ni muhimu sana kwa kiongozi kuwa makini na maneno anayoyatamka, hasa akiwa mbele ya watu. Kwa...
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇
_Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani
_Sisi tunajua tuinue vip paa ambaya ipo kwenye Ta mbarale
_Na Pia kuzingati Barabara za mitaa kuwepa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.