upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  2. Taratibu za kurenew passport ziangaliwe upya

    Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile...
  3. Zawadi za mshindi wa ligi ziangaliwe upya

    Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
  4. Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

    Inaweza kutokea umeibiwa, umepata ushindani mkali, sheria za serikali zimeathiri unachofanya, umechezewa michezo michafu, umeumwa, n.k. Ukiwa na mshahara angalau unaweza kuugulia kwa wiki kadhaa mshahara ulioisha lakini una uhakika mwezi ujao upo hivyo ni wewe kujitafakari tu jinsi ya kula kwa...
  5. Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

    Je kungekua na uwezekano wa kuzaliwa upya, ungependa kuzaliwa nchi gani? Toa sababu?
  6. SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  7. Mwili wa Marehemu kufukuliwa ili uzikwe upya baada ya utambuzi

    Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha kisha kwenda kuzikwa kwao. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa ACP Theopista Mallya amewaambia waandishi wa...
  8. S

    Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  9. Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  10. Msaada: Nimeomba 'Control Number' NACTE ya kulipia 10,000 badala ya 30,000. Sifahamu namna ya ku-cancel nianze upya

    Salaam, Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha. Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu. Kwa kosa nililofanya la kupata control number ya 10,000 nitalazimika kuomba chuo kimoja tu hivyo nitakua na risk...
  11. Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
  12. Soko la Mbagala sasa liko safi na linafikika kwa urahisi. Masoko machafu yote yabomolewe na kujengwa upya

    Habari! Mwaka jana kabla soko la Mbagala kuungua moto niliingia sokoni ili nipate mahitaji muhimu . Lile soko lilikuwa chafu na wakati wa mvua linatoa harufu mbaya sana. Njia za kuingilia na kutokea hazijulukani. Bidhaa ziko hovyohovyo. Huwezi kuingia mara mbili kama hujazoea uchafu. Jana...
  13. Airtel wameanza tena kunin'giniza miamala, tulishasahau, sasa yameanza upya

    Nimelipia kifurishi cha zuku through airtel money, ni siku ya mwisho kutakiwa kulipia vinginevyo huduma inasmamishwa, muamala haukukamilika so nikawapigia wahudumu wa airtel na haya ndio majibu yao "Samahani kwa usumbufu pesa zako hazikuwasilishwa zuku kwahiyo utasubiri masaa 24 ya kazi then...
  14. Simba kufumua benchi upya

    Badilisha baadhi ya maneno kwenye taarifa hii, lakini ujumbe ule ule: "Kikosi cha Simba kipo Casablanca, Morocco kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca itakayopigwa saa 7 usiku wa kuamkia Jumamosi. Timu zote mbili zimeshafuzu kwa robo...
  15. Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

    Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
  16. Ni nini upya wa Katiba Mpya?

    Hili ni swali ambalo wananchi wanajiuliza ingawa sio kwa maneno hayo au muktasari kama lilivyo hapo juu. Wananchi wanajiuliza swali kwa maneno kama: je katiba mpya itaniletea chakula au itaondoa dhuluma, itanisadia kutumia rasilimali zangu vema? itathamini kura yangu na kuyafaa maisha yangu...
  17. DR Congo: Makubaliano ya kusitisha Vita yavunjika tena, mapigano yaanza upya

    Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23. Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
  18. Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa. Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo oa Mkristo mwenzako. Issue ni ngumu, Mkristo kaowa mwanamke muislamu kipindi mahaba...
  19. Mafuru adai heshima ya AICC ilipotea, atairejesha upya

    MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho. Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza...
  20. J

    Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…