Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara.
#KaziIendelee
Source: Wizara ya Afya
Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye.
====
UPDATES;
=====...
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;
1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano...
CHADEMA hawajitambui kwa kujiita chama kikuu cha upinzani huku bungeni wana kiti kimoja tu cha kuchaguliwa na wananchi. Wamekua hawakubali ukweli kwamba hawana ridhaa ya wananchi kuongoza nchi hii.
CHADEMA huku wakifuata ushauri wa mabeberu wasiyoitakia heri nchi wamekua wakidai wameporwa...
Katika miaka karibu 24 ambayo Mwalimu Nyerere alikua kiongozi wa Tanganyika na baadaye Tanzania, kulikua na majaribio matatu ya kupindua serikali.
Wakati huo hiyo ndiyo ilikuwa njia pekee ya kuiondoa serikali madarakani, kwakuwa nchi ilikua na chama kimoja tu kilichojipa uhalali wa kuongoza...
Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na...
Kwanza nikupongeza sana kwa kuupiga mwingi mpaka unaotea. Kwa wale waliokaa Tabora wanajua hadithi ya mcheza maarufu wa mpira wa miguu kutokea mkoani humu YUNGE MWANA NSALI huyu inasemakana alikuwa anauwezo wa kupiga faulo akikonga mwamba inaenda kufunga upande wao.
Mama unapigiwa kila aina ya...
Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi:
Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina hakika watakaoingia madarakani watataifisha mali zote za CCM hakibaki kiti wala meza.
Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya Katiba? Je Rais Samia haelewi kwamba japo ana mamlaka ya Uraisi wa Tanzania, uraisi wa Tanzania...
Ifikie mahali Watanzania wote tukubaliane kuwa hata kama chama tawala hampendi upinzani lakini kuna umuhimu wa wabunge wao kuwepo bungeni.
Fikiri kuhusu hizi tozo zinazoumiza ambazo zimeongezwa katika bei za mafuta, voucher na katika huduma za pesa kwa njia ya simu. Tukubali kabisa kuwa...
Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
Mwandishi Njonjo Mfaume anauliza nini mustakbali wa ACT Wazalendo kwenye siasa za upinzania Tanzania?
===========
Kuna baadhi ya viumbe ni vigumu kuwaainisha. Kati ya hao yuko popo. Popo anaruka kama ndege lakini ni mamalia. Kwa mujibu wa wataalamu, huyu ndiye mamalia pekee kwenye sayari yetu...
CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi?
Sasa kuna watu wanapiga makelele eti Vyama vya Upinzani wenyeviti wao ni Wafalme kwa hilo ndugu zangu wa CCM mliopoteza muelekeo...
Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani.
Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM
Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no.
Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
Friends and Enemies,
From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995, nchi yetu imepitia chaguzi kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi, na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez...
Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia
Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki.
Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo?
Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita...
Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'.
Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...