upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani anzieni hapa kuelekea kushika dola 2025+

    Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
  2. JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  3. JamiiForums Tanzania Senegal: Kiongozi wa upinzani afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

    Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali. Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
  5. JamiiForums Tanzania CCM imechoka, imefubaa, imekata pumzi. Upinzani ume-surrender, Wananchi wamebaki peke yao

    Tuambiane tu ukweli. Kwa sasa Serikali ya CCM imeishiwa ubunifu wa maendeleo kwa wananchi. Imechoka sana. Miaka 60 haina ambacho imefanya cha maana. Ubunif umeisha imekuwa business as usual. Maji bado ni tatizo pamoja na mito na maziwa yote tuliyo nayo. Umeme nao tatizo....vyakula tatizo pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania Laiti Hayati Magufuli asingeliua upinzani hiki kiburi cha kina Makamba kisingekuwapo

    Ni wazi matatizo yanayoikumbuka Tanzania kwa sasa ni matokeo ya Hayati Magufuli kuufifisha upinzani huku aliamini ni salama kwake hadi hapo angemaliza Utawala wake pasiwepo wa kumsumbua. ALIJIDANGANYA! Hayati Magufuli pamoja na mazuri yote aliyopata kuyafanya lakini hilo la kuufifisha upinzani...
  7. JamiiForums Tanzania 2025 Tunahitaji wabunge wengi wa upinzani kuliko kawaida

    Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu. Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali. Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua. Najua siku chadema wataanza mikutano ya...
  8. JamiiForums Tanzania Upinzani umeridhika na utendaji kazi wa Rais Samia. 2025 ni kama kumsukuma mlevi. Njia nyeupe ili aendelee kuchapa kazi

    Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM. Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu. Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea. Sekta ya elimu ndio iko...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachouangusha upinzani Tanzania ni nidhamu

    Nidhamu ndio msingi wa maendeleo ya kila kitu duniani, ukitaka kuwa tajiri ni lazima uwe na nidhamu ya fedha, ukitaka kuishi vema kwenye ndoa yako ni lazima uwe na nidhamu katika mahusiano yako, ukitaka kuwa na chama chenye ushawishi mkubwa na chenye uwezo wa kukamata dola ni lazima viongozi na...
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kura za Urais Tanzania kuanzia mwaka 1995-2020, upinzani na chama tawala

    Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano. Tujikumbushe hali ilivyokuwa kwa chama kilichoshinda dhidi ya kura za jumla za wapinzani katika kiwango cha wastani...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kwa Zitto Kabwe

    ZITTO KABWE anafaa kua mfano kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa maana anajua maana halisi ya upinzania, Upinzani haina maana upinge kila kitu bali ni kupinga yasiyofaa na yanayofaa kuyaunga mkono lakini wapinzani wengine wao wanapinga kila kitu kinachokuja mbele yao. Leo katika ziara ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

    Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha, ni rahisi sana kuumaliza, kuudhoofisha, kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya jambo fulani, hii ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga...
  14. JamiiForums Tanzania Spinning ni njia nzuri ya kupambana na mikutano ya hadhara ya upinzani kuliko kuikataza!

    Wakuu Kuliko kuikataza mikutano ya hadhara kwa visingizio Mbali mbali ni bora kuifanyia spinning ili isilete madhara makubwa kwa wanaoiogopa! CCM kama chama kikongwe bado kina vichwa vyenye uwezo wa kujenga hoja kwa kuanzisha mikutano ya ku spin hoja za wapinzani. Vichwa kama wasira, Kinana...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  16. JamiiForums Tanzania DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

    Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo! Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nauponda sana upinzani ila nikitaka kuisifu CCM nafsi yangu inanisuta

    Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo. Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia...
  18. JamiiForums Tanzania Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema, aliyechaguliwa kutoka mkoani Rukwa na Mbunge mwingine wa upinzani kwa tiketi ya CUF toka mkoani Mtwara. Kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa kila mmoja amejionea umuhimu wa Bunge kuwa na wabunge wa upinzani

    Kwa huu Utopolo unaoendelea bila shaka Kila mtu amejionea kuwa kule bungeni ni muhimu kuwa na wabunge ambao sio kijani pekee. Inshu ya Tozo kwamfano! Ni mpaka Wananchi wenyewe mtaani wanajisemea hakuna wa kuwasemea! Bungeni kule ni watu kupongeza tu. Sasa hivi bei ya nafaka haikamatiki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…