Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-
1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na...