upekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni upekee gani wa WaIsrael ulifanya washushiwe vitabu vitatu kati vinne vya Mwenyezi Mungu?

    Wakristo wao wanaamini Israel ni taifa teule lilichogaliwa na Mungu ndio maana mambo yote ya dini ya Ukristo na ukombozi yamepitia Israel, hawana kipengele katika hili, mjadala uliopo unaowaganya ni kama Israel ya sasa au ya kale ndio taifa teule. Kwa upande wa Waislamu wao wana story ya...
  2. Upekee vivutio Hifadhi ya Taifa Saadani kuongeza watalii

    TANZANIA imebahatika kuwa na hifadhi 21 za Taifa zenye vivutio mbalimbali vya utalii ambavyo baadhi havipatikani katika hifadhi za nchi zingine Afrika Mashariki na kwingineko. Hifadhi ya Taifa ya Saadani inayopatikana Mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo na Tanga katika wilaya za Muheza na Pangani...
  3. Ndege zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa za upekee

    Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;- Zitakuwa zinatumia motor kama engine Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa na utofauti na motor zinazotumiwa na magari au rockets Battery zitakuwa na uwezo wa kurecharge huku...
  4. Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  5. Kitu unahisi unakifanya tofauti na wengi wanavyokifanya?

    Niaje wakuu, bonjour comment cava! Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako. Au hata kama hakikusaidii lakini unakifanya kwa upekee. Cc: Binti Sayuni03 | Vincenzo Jr | Mwachiluwi...
  6. Why always Tundu Antiphas Mughwai Lissu?

    Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na huku wa CCM akiwa ni Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa kauli yake mwenyewe, tena akiwa anatetea urais...
  7. Apollo: Album ya Fireboy DML yenye upekee wa aina yake

    Albamu ya Apollo ya Fireboy DML: Safari ya Upekee katika Muziki wa Afro-Beatz Katika ulimwengu wa muziki wa Afro-beat, albamu ya Apollo ya Fireboy DML ni mfano halisi wa ubunifu wa kisanaa na urithi wa kitamaduni. Iliyoachiliwa mnamo Agosti 2020, Apollo inasimama kama ushahidi wa uwezo wa...
  8. Upekee wako utathaminika tu ukiupeleka mahali panapohitajika

    Mzee mmoja, tumwite Hekima, aliamua kumpa kijana wake gari lake la miaka mingi baada ya kuhitimu masomo ya Chuo Kikuu. Kabla ya kumkabidhi, alimtaka alipeleke kwa watu tofauti ili kujua thamani yake halisi kwa wakati huo. Gari lenyewe ni Volkswagen Beetle, na alishalitumia kwa zaidi ya miaka...
  9. Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

    Naomba kujuzwa! Japo sivutiwi na mwonekano wa nje wa gari tajwa, linaonekana lina upekee usio wa kawaida. Bei yake ipo juu sana. Ningekuwa na ndugu au rafiki mwenye nalo, ningeomba alau lifti ili niujue uzuri wake halisi. Lazima lina upekee unaolifanya liwe ghali sana kuliko magari mengine...
  10. Tengeneza upekee na umuhimu uchaguliwe kundini

    TENGENEZA NAFASI, ILI UWE MUHIMU NA UCHAGULIWE KUTOKA KUNDINI Na Comrade Ally Maftah Somo la leo nitajumuisha maeneo yote ninayofanyia kazi kwa ukaribu na uzoefu wangu tangu naanza kazi mpaka leo nilopofanya maamuzi ya kutoajiliwa tena isipokuwa kwa mkataba wenye maslai mapana mno. Moja ya...
  11. Kijiolojia na Kisayansi: Upekee wa Muundo wa Ardhi ya Iringa, Tanzania

    Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika. Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya kijiolojia ambayo imeunda miamba ya kale na muundo wa ardhi unaopatikana huko. Miamba ya kale...
  12. Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  13. Upekee wa kinywaji chetu cha kipekee

  14. Upekee tunaoutaka wana Simba SC ni kuwa Bingwa wa CAFCL na Super League siyo kuzindua Jezi Mlima Kilimanjaro

    Sijaona bado ulazima huo wa kujihangaisha kwenda kileleni Mlima Kilimanjaro na kuzindua jezi zetu Simba SC ili tu kufunika tukio la Yanga SC la wao kuzindua zao Ikulu ya Malawi mbele ya Marais wawili wa Malawi na Tanzania. Na si lazima kila Yanga SC ikija na kitu kipya cha ubunifu basi na sisi...
  15. Upekee wa bajeti ya kwanza ya serikali ya rais Samia mwaka 2021/2022 iliyokaguliwa na CAG

    Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti. Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
  16. Kwa kugawa wanyama wetu tumeuza upekee wetu. Tumebaki na nini?

    Moja ya jambo muhimu katik biashara ni upekee wa bidhaa yako. Watu hawaji kununua kwako bidhaa au huduma kwa sababu ya huruma, ni kwa sababu una kitu wanachohitaji na unakitoa kwa ubora kuliko washindani wako. Kwa miaka kadhaa huko nyuma Tanzania tumetokea kugawa wanyama wetu kwa mataifa...
  17. UDSM ina upekee gani wa kumtunuku mtu Udaktari wa Heshima kuliko vyuo vingine?

    Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima. Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
  18. SoC02 Tamaa ya 'upekee' na 'kuweka kumbukumbu' inasababisha ubinafsi katika taifa!

    Habari wanaJF? Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
  19. M

    Wizara ya Mambo ya ndani iwaangalie hawa graduate kwa jicho la upekee

    Ok
  20. Thamani ya Upekee

    THAMANI YA UPEKEE Jiwe alifanya mara zote kitu cha kipekee hakuwa na hali ile ya kupenda kufanya jambo ambalo wengi walijaribu kufanya au kufanikiwa. Watu wengi upenda kufata njia ya wengi ila sio kwa Jiwe alikua wakipekee sana, tokea wakati alipokua akisikia juu ya njia ile wapitao wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…