upatikanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Grena

    Certificate of Good Conduct kwa aliye nje ya Tanzania inapatikanaje?

    Habari zenu wakuu, Kuna rafiki yangu yuko nje aliwahi kufanya kazi Tanzania miaka kadhaa nyuma mkataba ulivyoisha akaondoka. Baadae alienda kufanya kazi Dubai na Qatar then akarudi kwao. Saivi kapata kazi Canada anatakiwa working permit lakini wamesema lazima awe na certificate of good...
  2. The Assassin

    BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  3. Chani Mohamedi

    SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
  4. K

    Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

    Tumeaminishwa na Serikali kuwa mgonjwa anatakiwa kwenda hospitali za umma na atapata matibabu bure. Leo nimeenda Kituo cha Afya ya Buzuruga kumwona mgonjwa wangu sikuamini macho yangu nilipoambiwa kanunue gloves, kanunue pamba, kanununue dawa ya kusafisha jeraha nk. Hivi Mtanzania wa kawaida...
  5. B

    Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania

    Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania. Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo inatoa taarifa ya kutosha kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania . Hebu angalia video...
  6. grizzman

    Ni vipi naweza kupata Hati ya Tabia Njema?

    Habari za usiku ndugu zangu. Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema. Mahali inapopatikana, vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
  7. Elli

    UVCCM: Wapinzani walikwamisha upatikanaji wa KATIBA mpya

    Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji. Ile sherehe mliyofanya...
  8. Roving Journalist

    Taarifa ya Upatikanaji wa Mayai Nchi Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TAARIFA FUPI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI 15 JUNI 2021 1. UTANGULIZI Tarehe 15/06/2021 Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliona ujumbe unazunguka kwa njia ya...
  9. Q

    Waziri wa Afya na Naibu wake wataweza kuratibu upatikanaji wa chanjo waliyokuwa wanaipinga?

    Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo. Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka. Kuhamasisha watu...
  10. K

    Serikali Iwezeshe Upatikanaji wa Mahakama za Jadi

    Poleni kwa mahangaiko ya dunia hii ndugu zangu. Poleni wahanga wenzangu mliopitiwa na wezi. Ushauri kwa serikali: Kuna haja ya kuona namna ya kuweka mazingira wezeshi kwa wazee wa mila kuanzisha mahakama na kutoa hukumu kimila. Katika kupambana na wizi au uhalifu katika jamii, baadhi ya nchi...
  11. D

    Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Habari wataalam, Nataka nijenge nyumba ndogo kwa mjengo wa stail ya ghorofa moja yaani floor moja kwa juu, kutokana taratibu za nchi na vibali vya ujenzi. Naomba kwa anaejua hatua za kufanya ili kupata vibali na gharama za kupata hivo vibali, sitaki kujenga kienyeji nataka kufuata utaratibu...
Back
Top Bottom