Zaidi ya wananchi 450 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wamepata huduma ya upasuaji wa Mtoto wa Jicho (cataract) bure, kupitia kampeni ya afya iliyoendeshwa na Madaktari Bingwa na Wabobezi kutoka nchini Hispania.
Huduma hiyo, iliyolenga kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini...