Hili swala Maji ni Kama laana kwa viongozi wetu. Kiufupi, viongozi wamelaaniwa.
Wala hawawezi kuelewa mambo ya msingi. Kwa teknolojia ya sasa Maji ya mto ni kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji (Irrigation) sio matumizi ya maji ya kunywa. Mito hukauka.
Maji ya kunywa yapo ardhini, baharini...