Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama.
Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
Uteuzi mpya wa viongozi na mabadiliko ya viongozi Tanzania mwaka 2022/23 yamekuwa chachu kubwa katika kuimarisha uongozi bora na uwajibikaji. Mabadiliko haya yameleta matumaini mapya kwa wananchi na kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za utawala nchini. Katika muktadha huu...
Wenda Rais Samia ndio atakua rais wa kwanza Tanzania kuweka wanawake wengi ktk nafasi za uongozi kupita vipindi vyote nyuma yake,wanawake ni wengi sasa ile 50/50 apa inatumika vilivyo.
Mbali na kuweka wanawake wengi Katika nafasi za uongoz Lakini pia ndio Rais wa kwanza kuteua mwanamke kua...
Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka
Nimemsikiliza Fei Toto akisema kwa uchungu kwamba ametukaniwa mama yake na msemaji wa Yanga.
Juzi tu tulisikia Ali...
MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
KARMA NA UONGOZI: JINSI MATENDO YETU YANAVYOATHIRI JAMII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
****************
Kuna kijiji kimoja kilichokuwa kikiishi katika umaskini mkubwa na matatizo mengi. Kiongozi wao alikuwa mtu mwenye tamaa na kujali maslahi yake binafsi badala ya maslahi ya jamii.
Mmoja wa wakazi wa...
Kichwa cha habari hapo juu hakina lengo ya kudhihaki jinsia bali ni mada ambayo ningependa tuiangalie kwa mapana!..
Binafsi wanawake na uongozi hili jambo linanipa ukakasi zaidi nazungumzia uongozi ktk taasisi kubwa kubwa,ukakasi unanishika zaidi kutokana na hulka za hivi viumbe kitabia,mawazo...
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa.
Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji katika Siasa na Uongozi
Utangulizi
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo endelevu. Katika andiko hili, tunapendekeza mabadiliko yanayolenga kukuza utawala bora na uwajibikaji katika uwanja wa siasa na...
TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI
Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
Hili taifa miaka yote tangu kuanzishwa kwake huwa liko katika migogoro ya kisiasa.
Mawaziri wake wakuu rasmi wote 18 waliowahi kuingia madarakani hakuna aliyewahi kumaliza awamu yake ya uongozi.
Lazima moja kati ya kuuwawa, kupinduliwa, kuondolewa kwa kura ya kutokuwa na imani au kujiuzulu na...
Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa.
Tatizo la vijana wengi huwa mnavimba vichwa mnapopata kuaminiwa na kusifiwa na mteule japo kwa mambo kadha wa kadha...
Umofia kwenu nyote,
Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana.
Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini.
Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu...
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni.....
1. Clatous Chama
2. Henock Inonga
3. Said Ntibanzonkiza
4. Pape Ousmane Sakho
5. Shomary Kapombe
6. Kibu Denis
7...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini.
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, bungeni hii leo Mei 04 2023 Waziri wa Wizara hiyo, Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha...
Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga.
Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco.
Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.