uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Upinzani nchini umekata tamaa, umeishiwa pumzi, au umeridhika na uongozi uliopo nchini

    Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira...
  2. G

    PreGE2025 Shime watanzania 2025 tumpate rais mwenye sifa za uongozi na siyo uongozi wa sifa

    Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi. Rais wa 2015 - 2021 . Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka...
  3. guojr

    SoC04 Umuhimu wa Uongozi Imara na Taasisi Madhubuti kwa Utawala Bora Tanzania

    Katika kipindi cha miongo michache iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, changamoto za utawala bora bado zinabaki kuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo yetu ya maendeleo endelevu. Ni wazi kuwa uongozi imara na taasisi madhubuti ni...
  4. A

    SoC04 Uongozi na ufisadi. Tanzania tuitakayo miaka 15 ijayo

    Kutokana na kila kiongozi /watumishi wanao teuliwa na viongozi wakuu ,mfano rais kuendeleza ufisadi karibu kila secta. Kutungwe sheria maalumu itakayo tumika kuwa filisi ,kutaifisha mali za mtuhumiwa au kunyongwa. Tuhakikikishe kunakua na tasisi maalumu kutoka (NGOS ) mashirika yasiyo ya...
  5. M

    Swali kwa Wana-CHADEMA kuhusu vipindi vya uongozi katika chama chenu

    Swali maalum kwa makamanda. Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo? Tuelewesheni ili tuelewe huko uongozi ukoje maana vyama vingine tumeona mtu kapiga miaka kumi anastaafu sasa kwenu...
  6. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  7. PART ASIFIWE MALILA

    SoC04 Nafasi za Mawaziri zinazohitaji ridhaa ya Wananchi

    Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za mawaziri ambazo zinahitaji umakini wakati wa uteuzi na ikiwezekana uanzishwe utaratibu wa kupata...
  8. peno hasegawa

    CCM huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa Wilaya na mikoa unawasadiaje mbona wizi wa fedha za serikali ni mkubwa maeneo hayo?

    Ukimsikiliza makonda kwenye mikutano yake ,inaonyesha ccm imeshindwa kuisimamia serikali ngazi ya wilaya na mikoa. Hao wenyeviti wa ccm wilaya na mikoa,kupitia kamati za siasa wanashindwa kukagua miradi na kutoa taarifa mapema hadi milioni 600 zinaibiwa? Hizo kamati za siasa za wilaya...
  9. Yoda

    CHADEMA huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa kanda unawasadiaje?

    Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo...
  10. Tlaatlaah

    Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  11. Crocodiletooth

    Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  12. P

    Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  13. K

    Ushauri kwa uongozi wa TFF

    Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache. Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
  14. Paspii0

    SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  15. GENTAMYCINE

    Hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikwaza na ndiyo maana sasa nimeamua Kuwaacha ili mpotee zaidi na Timu iendelee Kuharibikiwa tu

    Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake. Hakuna...
  16. W

    Kutoka Muziki wa Hip Hop hadi kuwa viongozi

    Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa: 1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo 2. Nickson Simon 'Nikki wa...
  17. C

    SoC04 Kabla ya kuwaza jinsi gani ya kuiboresha Elimu zaidi nchini, tuiheshimu na tuipe nafasi Elimu tuliyonayo sasa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchi

    Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla. Uongozi ni kitu muhimu kwenye kila kitu(ngazi) iwe Taifa, familia, Taasisi, Biashara na hata katika maisha ya mtu...
  18. William Mshumbusi

    Uongozi wa simba huwa unagombana na wachezaji wazuri na tegemewa. Wanaipa hasara klabu na kumpa mtihani Mgunda

    Hamtaki Chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki Sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii Mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi. Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
  19. Tlaatlaah

    PreGE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  20. G

    PreGE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

    Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
Back
Top Bottom