uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

    Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini. Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu? Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
  2. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tunaomba Taarifa za wapi alipo sasa Kibu Denis

    Na mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
  3. Mpigania uhuru wa pili

    Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu

    Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
  4. kavulata

    Uongozi wa kupeana hisani kutaigeuza nchi kuwa ya kisurutani

    Sisi tunatoa tu maoni yetu hatujui yataisaidiaje nchi yetu leo na kesho, lakini ni heri kusema kuliko kunyamaza. Nchi yenye watu zaidi ya 60m hawakosekani watu safi wenye sifa ya kuongoza wenzao kupata maendeleo. Kama ukiwekwa utaratibu na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi bora unaofanana na...
  5. Shark

    Kama Uongozi ni Batili na Maamuzi Waliofanya pia ni Batili.

    Hata nyaraka za Usajili walizosaini Hawa viongozi ni batili. Hii inapelekea kua hata wachezaji waliosajiliwa Kwa nyaraka za huyu bwana ni wachezaji batili. Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa wachezaji feki waliopitia mikataba feki ya usajili ni mechi "hewani", wapinzani wa hizo mechi...
  6. GENTAMYCINE

    Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  7. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

    Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza. Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
  8. Bushmamy

    Arusha: Avuliwa uongozi ndani ya chama kutokana a ubadhirifu wa fedha

    Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi. Aidha...
  9. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  10. Roving Journalist

    Madai ya Refund ya Wanafunzi Chuo cha DUCE, Uongozi wasema umeshalipa waliosalia ni Wanafunzi 11

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo cha DUCE (Dar es Salaam University College of Education) wamekuwa wakizungushwa kupata malipo yao ya “refund”, kwa kile alichoeleza kuwa Idara ya Fedha ya DUCE inawasumbua, ufafanuzi umetolewa na Chuo husika. Mwanachama...
  11. Roving Journalist

    Mariamu Sagini awaasa vijana wa kike kutengeneza nafasi za Uongozi

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amewataka vijana hasa wa kike kutengeneza historia nzuri maishani kwa kujaza nafasi za mbalimbali za uongozi hasa kadri zinavyojitokeza. Akizungumza na vijana kwenye Hafla ya Ufungaji wa Kambi la Umoja wa Vijana mkoani Katavi iliyofanyika katika...
  12. ADOLPH EMMANUEL

    SoC04 Uongozi wa Edeni

    Uongozi wa Edeni Rushwa kama upepo wa kusi, inavuma kwa kasi, Inakita mizizi kila kona, inaibomoa Edeni, Kila mtaa kila kijiji, maendeleo yanabuma, Watu wanasaga meno na kulia, haki haipatikani. Uzembe kazini unatisha, unaenea kama magugu, Wafanyakazi wanalala, huduma zinakuwa mbovu, Ufanisi...
  13. U

    Video: Rais William Ruto wa Kenya na funzo kwa viongozi wa Afrika hususani Tanzania. Uongozi wa nchi ni kusikia na kuelewa. Sio ubabe na maguvu..

    Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa.... Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya... Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya Mungu... Amekataa na kutambua kuwa uongozi si kutumia nguvu na mabavu bali ni kuwa na sikio la...
  14. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    1. Khalid Aucho 2. Dickson Job 3. Ibrahim Baka 4. Djigui Diarra 5. Yao Kwasi 6. Aziz K 7. Pacome Zouzou Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
  15. Elius W Ndabila

    Uongozi mzuri unaanzia na kujiongoza wewe mwenyewe

    Ninawasilimia wana Jf wote. Baada ya mapumziko ya kuandika hapa na kuwa kwenye kundi la wasomaji, leo nimerejea baada ya miaka miwili. Ninaomba mnipokee na msinifokee. Niendelee na mada. Katika maisha ya kila siku ya hapa Duniani kila mtu ni kiongozi, tofauti ni kuwa ni idadi ya watu...
  16. Idd Ninga

    Jamii ya Kimasai yaanzisha mfumo wa Uongozi wa Kimila wa Wanawake

    Jamii ya Kimasai ni Moja ya jamii ambayo hadi sasa inaishi kwa kufuata mila na tamaduni zake, tofauti na jamii nyingine ya kiafrika ambapo sasa hivi zinakwenda kusahau kabisa mila yake. Katika jamii ya kimasai, kuna Viongozi wa kimila Wanaojulikana kama Leigwanan, hawa ni viongozi ambao...
  17. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15, hadi 25 ijayo

    Utangulizi Tanzania ina hazina kubwa ya maliasili na rasilimali watu ambayo inaweza kutumika kuleta maendeleo endelevu. Katika miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo, tunaweza kuona mabadiliko makubwa ikiwa tutaweka mkazo kwenye mazingira na uongozi bora. Hili andiko linaangazia maono ya kibunifu kwa...
  18. GENTAMYCINE

    Hivi nyie Uongozi wa Simba SC mna Akili sawa sawa Kweli? Sasa Waziri Junior 'Shentemba' wa nini Simba SC yetu?

    Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
  19. R

    Masheik mahubiri ya maadili yasiishie kwenye ushoga, jumuisha HAKI, WIZI WA MALI ZAUMMA- REPORT ZA CAG, siasa safi, uongozi bora na mambo kama hayo

    Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu. Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
  20. Mturutumbi255

    Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
Back
Top Bottom