ununuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement

    SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata taratibu za kisheria na kwamba kampuni inayopinga ununuzi huo ya Chalinze Cement imeshafutiwa usajili...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

    Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege. Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege? Taarifa zilizopo ni...
  3. Balozi limited

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa suala la ununuzi wa rada nne nitakupongeza daima hayati JPM kazi ya kizalendo sana

    Kuna watu hapa JF wanakariri habari za miaka ya nyuma halafu wanazileta sasa bila ya kujua nini haswa wanachokiandika. Ni hawa wanaopenda kuandika habari za nchi kuibiwa, na habari za ndege kuonekana huko maporini. Hawa kuna mahali hawaelewi labda hawafahamu kuwa TZ ya sasa imenunua rada nne...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB yakamilisha ununuzi wa benki kubwa DRC, huku KDF wakiendelea na kusaka amani kule

    Sasa KCB kuhudumia wananchi milioni 90 kule DRC. ======== KCB Group will officially begin operations in the Democratic Republic of Congo (DRC) after its acquisition of a majority stake in the Trust Merchant Bank (TMB) received nod from regulators, allowing it to expand its services into one of...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ghana kuipiga kando dola ya Marekani katika ununuzi wa mafuta

    Nov 26, 2022 02:33 UTC Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani. Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia amesema katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa Facebook kuwa: Iwapo mpango huu utatekelezwa barabara...
  7. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Elon Musk ainununua Twitter, atimua viongozi wa juu

    Twitter Inc. sasa inamilikiwa na Elon Musk, huku vyombo vingi vya habari vikiripoti kwamba mauzo ambayo yalikuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu yalikuwa yamefungwa rasmi. Gazeti la Wall Street Journal, Washington Post na mengine yaliripoti, kulingana na vyanzo ambavyo havijatajwa, kwamba watendaji...
  8. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Wanunuaji wa simu za smartphone used mnajihadhari vipi na ununuzi wa simu ambazo ni za wizi

    Rejea kichwa cha habari,naongea na wanunuzi wa simu used hasa kariakoo mnachukua tahadhari mnaponunua simu hizo?mf jamaa wanaweza kuletewa simu dukan mtu analeta simu anaongezea na hela kidogo anachukua mzigo mwingine unakuta simu ameiiba, Mf umenunua simu kumbe ya wizi polisi ,tcra wameitrack...
  9. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maanake nini
  10. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maana yake nini
  11. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

    Dar es Salaam. Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya LUKU kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku. Meneja Mwandamizi wa Tehama katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Cliff Maregeli...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Elon Musk asitisha ununuzi wa twitter mpaka itakapodhibiti robots (bots)

    Mtandao wa kijamii wa twitter ulisema account fake/spam au bots ni chini ya 5% ya watumiaji wa mtandao huo. Suala ambalo Elon Musk ameonekana kukataa akisema kuwa bots ni zaidi ya 5% ambapo ametaja ni 20%. Mkurugenzi wa Twitter ameshindwa kuthibitisha kuwa bots zilizoko twitter ni chini ya 5%...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

    Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022. Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania UDSM Kuna nini kwenye fani ya ununuzi na ugavi?

    Leo nimekutana na tangazo la ajira kutoka UDSM wanahitaji Procurement Specialist. Nikajiuliza maswali yafuatayo. 1. Je, UDSM haina wataalamu wa Ununuzi ? 2. Na kama wataalamu wapo, Je, hawana sifa zinazokidhi matakwa ya hiyo kazii? 3. Je UDSM haiwaamini wataalamu wake walioko kwenye sekta ya...
  17. bilemasome

    JamiiForums Tanzania Tupeane elimu kuhusu ununuzi wa viwanja, hususani vya makazi

    Habari Ndugu, jamaa na marafiki Sisi sote tumesikia au tumepitia kuhusu kutapeliwa kwenye ununuzi wa viwanja. Hii hali inachosha na inaumiza sana, hasa kwa yule aliyetapeliwa kwenye ununuzi wa viwanja. Wengi wetu huwa tunawacheka waliotapeliwa au kununua kiwanja chenye mgogoro (nakuombea...
  18. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

    Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi? Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
  20. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
Back
Top Bottom