Wadau habari za mida,
Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe.
Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kununua jezi halisi (original) za timu ya Simba SC, akitoa rai kwa wapenda soka wote kuepuka jezi bandia (feki).
Dkt. Mwigulu ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200...
Jana wakati wa hotuma ya Mh Rais uapisho wa viongozo mbali mbali kuna sehemu kuhusu maelekezo ya Mh Rais kuhusu matumizi ys sheria za PPRA uachwe,
Ushauri wangu kwa jopo la washauri wake wangemsaidia kuhakikisha anasisitiza matumizi ya sheria za umma na kuwepo na uharaka katika utekerezaji...
Habar
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na niwaletee ufafanuzi mzuri kuhusiana na mada niliyoweka hapo juu.
Baada ya kuona uhitaji mkubwa na muhimu wa watu kutaka kuwa na makazi Yao ya kudumu na kuwa na changamoto ya upungufu wa fedha hususani katika kununua viwanja na nyumba...
Tunajua Tanzania tunatawaliwa na soko huria ambapo kunaruhusiwa ushindani. Juzi Mhe. Mpina aliposhauri kuwa ni kwa nini tunatumia mtindo wa ukiritimba (monopoly) katika ununuzi wa pamba msimu huu alipingwa vikali sana na Mhe. Bashe Waziri wa Kilimo.
Mazao mengine kama korosho, ufuta na...
1. Utangulizi
Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana kwa wingi katika eneo ninakoishi. Lengo langu ni kuwa wakala wa ununuzi kwa niaba ya mfadhili...
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.
Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.
Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
Wakuu Tumemsikia Msemaji wa Serikali Ndugu Greyson Msigwa akitoa Uchambuzi Juu ya Serikali kudhamiria Kununua Umeme Kutoka Ethiopia kupitia Kenya.
Msemaji huyo amedai ununuzi huo wa Umeme utaenda Kuimarisha Hali ya Upatikanaji wa Umeme kwa Mikoa Ya Kaskazini Yani Arusha Na Kilimanjaro.
Sasa...
India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo drone zina vifaa kutoka China.
Inadaiwa uchunguzi wao ulianza hapo awali baada ya drone zao za...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (kati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kutangaza ununuzi wa Benki ya Canara Tanzania ambayo rasmi inakuwa sehemu ya benki ya Exim Tanzania. Ununuzi huu ni wa tatu kufanywa na benki ya Exim ndani ya miaka sita iliyopita ikiwa sehemu...
Simba SC inakabiliwa na mwitikio mdogo wa mashabiki wake kuelekea mechi yao ya tatu ya Kundi A kwenye Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien, Jumapili Disemba 15,2024 katika dimba la Mkapa majira ya saa kumi jioni.
Takwimu za Uuzaji wa Tiketi Mechi ya Simba vs CS Sfaxien
Licha ya...
Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro kusimamisha ulipaji wa malipo ya jenereta.
Kadco iliagiza...
Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo zimeambatanishwa na picha ambazo zimebadilishwa na kuwekewa maandishi ya uongo kwa lengo la kuichafua CCM.
Picha...
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.
Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
1. Makamu Mwenyekiti aliomba mchango wa V8 mpya. Je imefikia kiasi gani? Usikute akaunti ni ya Mwenyekiti na hakuna uwazi wa kujua kiasi cha michango.
2. Itafika sehemu Makamu Mwenyekiti nae Njaa itamzidi atimkie CCM akale mema ya nchi, mtamlaumu Nani?
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa.
Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.