united

United Airlines, Inc. (commonly referred to as United) is a major U.S. airline headquartered at Willis Tower in Chicago, Illinois. United operates a large domestic and international route network spanning cities large and small across the United States and all six inhabited continents.
Measured by fleet size and the number of routes, it is the third-largest airline in the world.
United has eight hubs, with Chicago–O'Hare being its largest in terms of passengers carried and the number of departures. It is a founding member of the Star Alliance, the world's largest airline alliance with a total of 28 member airlines. Regional service is operated by independent carriers under the brand name United Express. The United brand name was established by the amalgamation of several airlines in the late 1920s, the oldest of these being Varney Air Lines, which was founded in 1926 but was taken over by Continental Airlines management in 2010 in what was described as a "merger of equals" and a newly created holding company for the airlines.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania EPL: Man. United yashinda kibabe Od Trafford, Arsenal yashikwa na Fulham

    Dakika 4 za awali, Manchester United ilikuwa nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya NottinghamForest wakati Arsenal ilikuwa nyuma kwa goli 1-0 dhidi ya Fulham. Hadi filimbi ya mwisho ya michezo hiyo ya Premier League, Man United imepata ushindi wa magoli 3-2 ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Old Trafford...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Imebaki miaka 18 mafuta kuisha United Arab Emirates

    Baada ya sakata kuendelea kupamba moto huku na huku. Imenibidi nianze kuifuatilia United Arab Emirates. Nimefuatilia historia yao na mimefuatilia uchumi wao. Chanzo kikubwa cha mapato katika nchi yao ni mafuta. Hiki ndicho chanzo kikubwa cha mapato. Sasa cha kushangaza kabisa ni kutokana na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wolves vs Manchester united ilikuwa bonge la mechi

    Mzuka wanajamvi! Mechi ya jana usiku ya premier league Uingereza Kati ya Wolverhampton vs Manchester united ilikuwa bonge la mechi. Cha kusikitisha Wolves hakuibuka kidedea ilifungwa goli moja kwa bila na Mani licha ya kucheza vizuri kwa kushambulia kulinda na kukaba Wolves pia katikati...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mshambuliaji mpya wa Man United ni majeruhi, atakosa mechi kadhaa

    Rasmus Hojlund ambaye alitambulishwa wiki iliyopita kuwa mchezaji mpya wa Manchester United ana majeraha ya mgongo lakini inadaiwa kuwa suala lake linaweza kuwa kubwa zaidi licha ya klabu kutoweka wazi. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 72 aligundulika kuwa na...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

    Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of the United Republic of Tanzania, Assalam Alaykum. Greetings with utmost respect and honor. I sincerely hope that you and your family are in good health and high spirits. I offer my prayers for your well-being and success as you shoulder...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Manchester United yakataa ofa ya West Ham kumsajili Harry Maguire

    Klabu ya Manchester United imekataa ofa hiyo ya Pauni Milioni 20 (Tsh, Bilioni 63) kwa kuwa inaamini ni dau la chini na imeweka wazi thamani ya beki huyo wa kati kwa sasa ni Pauni Milioni 35 (Tsh Bilioni 110) Kocha wa West Ham, David Moyes anataka kuwasilini Maguire pamoja na kiungo mwingine...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25): Taarifa Fupi (Sehemu ya kwanza kama iliyovyoandikwa na ChatGPT)

    Summary 📋 Tanzania expropriated the SMP gold project, a 12-year-long investment to explore and develop a gold mine, without offering prompt, adequate, and effective compensation, violating the Canada-Tanzania bilateral investment treaty. Facts Tanzania attracted foreign mining investments in...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United yafikia makubaliano na Inter Milan juu ya usajili wa Andre Onana

    Inaelezwa kuwa makubaliano yaliyofikiwa ni kumuuza kwa Pauni Milioni 43 ili kuchukua mikoba ya David De Gea ambaye ameondoka baada ya kudumu kwa miaka 12 Onana pia ameshakubaliana mahitaji binafsi na Manchester United na anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano United inatarajiwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Harry Maguire kupoteza unahodha Man United

    Inadaiwa kuwa beki huyo wa kati anayehusishwa kuondoka ndani ya Manchester United hata ikitokea akabaki kikosini anaweza kupoteza cheo cha kuwa nahodha mkuu wa timu badala yake nafasi hiyo ikaenda kwa Bruno Fernandes. Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika wiki hii kutokana na Kocha wa United, Erik...
  11. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa David De Gea ameaga Manchester United

    Mchezaji huyo ambae amedumu kwa muda wa miaka 12, toka enzi za Sir Alex hatimae anaondoka rasmi na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine. David De Gea anaondoka baada ya kushindwana na timu yake ya Man United katika majadiliano ya kuongeza mkataba mpya, baada ya mkataba wake kuisha rasmi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

    Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je, Intergovernmental agreement (IGA) kati ya EMirate of Dubai, au The United Arab of Emirate, DP worl na JMT ni MoU?

    Utangulizi: Naheshimu sana mawazo ya watu, ila kama taifa tuna shida mahali, nadhani ni sababu ya rushwa ikitamalaki inapofusha macho (sitaki kuhukumu sina uhakika ila kwa jicho la tatu DPW kuna harufu ya rushwa kubwa sana, maana sio kwa udalali unaofanyika sasa katika ngazi zote, kwenye media...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rashford kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa Man United

    Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki. Anayelipwa kiwango kama hicho ndani ya timu hiyo ni kipa David de Gea ndiye ambaye inadaiwa anaweza kuondoka...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Nchi ya United Arab Emirates

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia inaitambua Nchi ya United Arab Emirates ambayo ndani yake yapo majimbo saba : Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain na Fujairah huku jimbo la saba la Ras Al Khaimah ilijiunga na Shirikisho la UAE mwaka 1972. Huku mji mkuu wa nchi ya UAE ikiwa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 tangu Alex Ferguson astaafu, Man United haijarudi kwenye mstari

    Ni miaka 10 rasmi tangu Sir Alex Ferguson (81) alipotangaza kustaafu kuifundisha Manchester United na kufundisha soka kwa jumla Akiwa klabuni hapo alishinda mataji 13 ya Premier League, 5 (FA Cup), 4 (League Cup / Carabao), 2 Ligi ya Mabingwa, European Cup Winners' Cup, European Super Cup...
  17. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Iko hivi Kwa United

    United kwa sasa wakiwa na pointi nne nyuma ya Liverpool wakiwa na mchezo mmoja mkononi na nane mbele ya Brighton wakiwa wamecheza mechi moja zaidi, mapema zaidi wanaweza kushika nafasi nne za juu ikizingatiwa Brighton na United kushinda mechi zao zilizosalia ni mchezo mmoja uliobaki. Hali hiyo...
  18. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania "United States of Africa" na Ndoto za Bulicheka

    Changamoto kubwa mbili zinazowakabili Waafrika kwa sasa katika ulimwengu, na kusema kweli zinazotunyima sauti kwenye majukwaa ya kidunia, ni Mamlaka (Sovereignty) na Nguvu za Kijeshi (Military Power). Tuzungumze Mamlaka! Miaka 60 tangu kuundwa kwake, AU (African Union) imeshindwa kufikia maono...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mason Greenwood hana mpango wa kuichezea Manchester United tena

    Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza. Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubakaji ambayo yalifutwa Februari, lakini bado yupo nje ya uwanja baada ya klabu kudai...
Back
Top Bottom