Mashabiki wa Rivers United fc tukutane hapa

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
1,932
4,086
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc.

Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
 
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga afirika fc.

Yanga afirika fc.
 
Simba sisi tushatoka huku hizi mambo tuwaachie utopolo,wale kule wenye akili ni wawili tuu sasa tusishindane nao
 
Back
Top Bottom