united

United Airlines, Inc. (commonly referred to as United) is a major U.S. airline headquartered at Willis Tower in Chicago, Illinois. United operates a large domestic and international route network spanning cities large and small across the United States and all six inhabited continents.
Measured by fleet size and the number of routes, it is the third-largest airline in the world.
United has eight hubs, with Chicago–O'Hare being its largest in terms of passengers carried and the number of departures. It is a founding member of the Star Alliance, the world's largest airline alliance with a total of 28 member airlines. Regional service is operated by independent carriers under the brand name United Express. The United brand name was established by the amalgamation of several airlines in the late 1920s, the oldest of these being Varney Air Lines, which was founded in 1926 but was taken over by Continental Airlines management in 2010 in what was described as a "merger of equals" and a newly created holding company for the airlines.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bilionea namba Moja Uingereza athibitisha kutaka kuinunua Manchester United

    Sir Jim Ratcliffe amekuwa mtu wa kwanza kutangaza nia yake hiyo tangu wamiliki wa sasa wa Manchester United (Familia ya Glazer) watangaze nia ya kuiuza klabu hiyo. Ratcliffe ni shabiki wa Man United lakini ana tiketi ya msimu ya Chelsea, Klabu ambayo pia alitaka kuinunua Mwaka 2022...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Carabao Cup: Man United yashinda 3-0, yaingia nusu fainali

    Licha ya kuanzia benchi wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza, #ManUnited imeshinda 3-0 dhidi ya Charlton Athletic, wafungaji wakiwa ni Antony na Marcus Rashford (mawili) kwenye Uwanja wa Old Trafford. Mchezo mwingine wa Robo Fainali, Newcastle United pia imesonga mbele kwa ushindi wa magoli 2-0...
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Newcastle United (special thread)

    Jina kamili: Newcastle united Jina la utani: The Magpies Kuanzishwa: 1892 Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000) Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%, PCP Capital Partners 10%
  4. marehem x

    JamiiForums Tanzania Newcastle United anasiri gani wakuu? Nimefatilia uwezo wake safiri hiii anatisha

    Wakuu hongerani na kazi. Wengi wetu tunafatilia Sana ligi za Ulaya Moja ya ligi pendwa ni English premier league. Katiba msimamo wa ligi Newcastle timu iliyokuwa unafanya vema enzi hizo ni kawaida kitobeza timu. Kwa Sasa inasonga vzr Sana kias Cha kuwa tishio Kwa nyingine kama Liverpool...
  5. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Manchester united friend match tumefungwa zote

    Wachezaji a club tajwa Kwa hakika hawakuitwa na timu za nchi zao kwenye world cup tournament na Kwa kweli bora wauzwe wote. Wamedhihirisha kutoitwa kwaao na Coaches was right kutowaita. Lakini pia wapo ambao nchi zao hazikufuzu na ilikuwa sahihi kutofuzu. Its just a mathematics and numbers...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania David Beckham aweka wazi nia yake ya kuinunua Man United

    Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo. Hiyo inamaana kuwa kuhusika kwa Beckham kunaweza kuwa na manufaa kwa wanunuzi wengine kutokana na historia yake ya muda...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester United ipo sokoni, hatimaye Familia ya Glazer ipo tayari kuiuza

    Inadaiwa kuwa wamiliki hao wanaweza kuiuza klabu hiyo kwa Pauni Bilioni 5 hadi 9 (Tsh. Trilioni 14 hadi 25). Tayari kampuni kadhaa zimeshateuliwa kufuatilia mchakato huo na kutathimini hali ya soko lilivyo. Familia hiyo iliinunua United mwaka 2005 lakini imekuwa ikipigiwa kelele na makundi...
  8. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Critiano Ronaldo kaondoka kishujaa Manchester United

    Vyombo vya habari vimetumika kumchafua kwa kuyapa uzito mambo hasi, lakini aliongea mengi ya msingi na ukweli. Miongoni mwa mambo hayo ni: ~ Glazer hawajali timu. ~ Tangu Fergurson aondoke, hakuna maendeleo yoyote. ~ Tangu aondoke 2009 hadi aliporudi 2021 licha ya mabadiliko ya tekhnolojia...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuondoka Manchester United mara moja kwa makubaliano ya pande mbili

    Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa katika vipindi viwili akiwa Old Trafford, akifunga magoli 145 katika michezo 346” Hatua hiyo inakuja...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ronaldo: Tangu kuondoka kwa Ferguson maendeleo ya Man United ni sifuri

    Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo). Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester United dhidi ya Barcelona kwenye Mtoano wa UEFA Europa League

    EUROPA: MANCHESTER UNITED YAPANGWA KUIVAA BARCELONA Timu hizo zimepangwa katika droo leo Novemba 7, 2022 ambapo zitakutana katika Hatua ya Mtoano ya UEFA Europa League, Februari 2023. Ratiba ya mechi nyingine Juventus dhidi ya Nantes, Sporting CP vs Midtjylland, Shakhtar Donetsk vs Rennes...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa hivi hivi baada ya Yanga kutoka kwa Rivers United

    Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Harry Maguire apewa mapumziko maalum Man United

    Beki huyo wa kati amepewa ruhusa hiyo na kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha anakaa sawa kiakili na kurejesha kiwango chake. Masharti ya Ten Hag kwa mchezaji majeruhi ni lazima awe na timu muda wote lakini Maguire ambaye anasumbuliwa na maumivu ya paja...
  14. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Oktoba 2, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, atakwaruzana na Walima Zabibu Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mechi huenda ukawa ngumu kwa pande zote mbili, hasa ukizingatia kwa kila timu kujipanga ili kupata...
  15. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Manchester United iliamua kumnunua Casemiro?

    Ile pesa ilikuwa inatosha kununua bonge la kiungo wakutumika kwa muda mrefu na kuipa mafanikio timu. Tumemnunua casemiro umri 31 halafu unampa mkataba wamiaka 6 akiwa miongoni mwa highly paid players ndani ya timu. Jamaa hana cha kupoteza pale. Kashashinda kila kitu labda Europa tu. Dah kweli...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manchester United yaichakaza Arsenal 3-1 Old Trafford

    Manchester United imepata ushindi wa nne mfululizo katika Premier League baada ya kuichapa Arsenal magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Septemba 4, 2022. United ambayo ilianza kwa kasi mchezo huo imepata magoli yake kupitia kwa Antony na Marcus Rashford aliyefunga mawili wakati Bukayo...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

    Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo. Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55. United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Premier League: Man United yaibamiza Liverpool 2-1, Agosti 22, 2022

    Baada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford. United haikupewa nafasi kubwa ya kushinda katika mchezo huo, ilipata magoli yake kupitia kwa Jadon...
Back
Top Bottom